Baraka za Bwana ziwe juu yake!!

Wema wote huo ni kwa ajili ya nini?
Afterall its was just a sport.
 
wenzetu wana integrity ya hali ya juu, ni waamifu kwa lolote na chochote ila siyo wote wengi wao ni ushenzi ushenzi.
 
Mh! Mbona jamaa anaonekana kashinda na huyo mzungu anaonekana anataka kumpa mkono wa pongezi tu, mh mbona akili yangu inapingana na kinachoongelewa hapa
 
Wema wote huo ni kwa ajili ya nini?
Afterall its was just a sport.

aim aingie na yeye kwenye world record maana hata angeshinda asingeandika kama alivofanya sasa..

angekuwa wa mbagala au gongo la mboto angehesabu maumivu tu..
 
ni sports ila kumbuka pia ni ajira, pesa..nani asiejua hali ya nchi za kusin mwa afrika..
 
Mungu ni mwema siku zote tumwombee Roho Mtakatifu aongoze dhamira zetu ziwe njema. Asante Yesu Kristu.
 
aim aingie na yeye kwenye world record maana hata angeshinda asingeandika kama alivofanya sasa..

angekuwa wa mbagala au gongo la mboto angehesabu maumivu tu..
Sio wa Mbagala tu..
Kwenye gemu moja la FA kati ya Arsenal na Aston Villa, jamaa wa Villa walicheza fair play kwa kuutoa mpira nje baada ya kuumia mchezaji mmoja.
Baada ya hapo mpira akarushiwa Kanu. Badala ya kucheza fair play kwa kumpa mchezaji wa Villa au kuutoa nje, Kanu akaanza kutimua mabio kuelekea goli la Villa. Jamaa wa Villa wakabaki wameduwaa. Kanu akalisogelea goli hadi akapiga bao na Villa wakalala 1-0.

Gemu ile ilibidi irudiwe siku chache baadae na Arsenal wakashinda.

Chezeya mbantu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…