Barafu Kubwa Yaonekana

Barafu Kubwa Yaonekana

Chamoto

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Posts
9,883
Reaction score
22,305
ice.jpg

"An impressive iceberg arrived in Newfoundland's Goose Cove in mid-July. "Icebergs float in from Greenland,"said the photographer, Gene Patey. This one briefly blocked the town's harbor before breaking apart and melting, "but the fishermen took their chances."(Photo: Gene Patey)"
Source Yahoo
 
Hahaha, labda ni global warning ya global warming.

Haya ma block ya barafu yanavyoyayuka kina cha maji baharini kinapanda, tayari wananchi wa visiwa vidogo vingi wanatafuta pa kuhamia kwani visiwa vyao vitakuwa chini ya maji katika miaka michache ijayo. Na miji iliyo pwani inakumbwa na uvamizi wa maji ya bahari.
 
the-maldive-islands.jpg

Visiwa vya Maldives teyari viko hatarini kutoweka kutokana na uyeyukaji wa barafu.
 
ameshaeleweka .. hapa kwani tunafanya mtihani wa spellings?
asante Ivuga, nilikosea tu, M na N are so close on the keyboard as they are in pronunciation. Kingereza chenyewe sio luga yetu bana... lol
 
So hawa jamaa zetu wa Zenji wanataka kujitenga, ni km ku commit suicide? au wanajivunia ujuzi wa kuogelea hahahahaa
 
View attachment 34624

"An impressive iceberg arrived in Newfoundland's Goose Cove in mid-July. "Icebergs float in from Greenland,"said the photographer, Gene Patey. This one briefly blocked the town's harbor before breaking apart and melting, "but the fishermen took their chances."(Photo: Gene Patey)"
Source Yahoo

Inavyoonekana baridi ya hapo ni ya kufa mtu!
 
Inavyoonekana baridi ya hapo ni ya kufa mtu!
Inawezekana sentimita chache kutoka hapo kukawa na kaubaridi ila kwasababu haya ni majira ya joto eneo hilo haliwezi kuwa na ubaridi
 
Back
Top Bottom