britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,168
- 47,991
Hapana, Obama being a natural politician, was a much much superior campaigner compared to HC.Kumbe mfumo dume ulimfavor Obama badala ya Hillary kipindi wanagombea kuwa Nominee wa democratic
Yes kalitambua iloKumbe mfumo dume ulimfavor Obama badala ya Hillary kipindi wanagombea kuwa Nominee wa democratic
We gonna make america great againMake america great again.
Unafiki wa wanasiasa!
Huo mfumo dume anauona sasa hivi tu na 2008 hakuuona?
Trump akienda kwa Wazungu wenzie na kuwahimiza wajitokeze kwa wingi kumpigia kura unadhani ataonekanaje?Na kwanini anawapembejea weusi kumpigia HC? Hapandikizi mfumo mwingine wa ubaguzi? Yeye in mweusi lakini ni rais wa wamarekani wore. Kama ulivyouliza, anaweza vipi kuuelezea umma kwamba mfumo dume anaoukosoa haukuwepo 2008?
Zanzibar Baby🙂🙂🙂🙂
Trump akienda kwa Wazungu wenzie na kuwahimiza wajitokeze kwa wingi kumpigia kura unadhani ataonekanaje?
Yaani siasa bana...full unafiki tu.
Huyo huyo Obama na team yake mwaka 2008 waliwaita Bill na Hillary kuwa ni wabaguzi wa rangi....
Leo hii eti ndo anampigia debe ili awe mrithi wake.
Agree 1,000%.Kuna rafiki yangu mtaalam wa haya mambo ya siasa aliwahi kuniambia "Politics is worse than prostitution"
Kama kawaida unabii lazima utimie HC ndo rais afu DT atakufa mwaka keshoTrump ndio rais japokuwa America haiwezi kubadili sera zake sababu ya rais
Unabii wa nani huu?Kama kawaida unabii lazima utimie HC ndo rais afu DT atakufa mwaka kesho
Subiri hadi utimie ndo uamini usisahau uweke kwenye diaryUnabii wa nani huu?
Nami nakupa unabii mpya,"trump ndio president ajaye wa America"Subiri hadi utimie ndo uamini usisahau uweke kwenye diary
Haya vyema ila ntakumbuka wako na ww hakikisha unakumbuka wangu hadi wa Trump kufaNami nakupa unabii mpya,"trump ndio president ajaye wa America"
YapHaya vyema ila ntakumbuka wako na ww hakikisha unakumbuka wangu hadi wa Trump kufa