Barabara zote zinaelekea Nairobi

Barabara zote zinaelekea Nairobi

KVM

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
1,852
Reaction score
934
Kwenye gazeti la The EastAfrican (The future shape of East Africa: What happens when the sleeping giant of Congo - News - www.theeastafrican.co.ke) kuna makala inayoelezea nafasi ya DRC kwenye kubadili uchumi wa Afrika Mashariki. Waandishi wameeleza mengi lakini wameshindwa kabisa kuvumilia kuwa huenda mizigo ya DRC itapitia Tanzania. Kwa hiyo ikabidi wapindishe njia ili ipitie Nairobi. Tazama ramani hapo chini.

The EastAfrican ni moja kati ya magezeti yakipuuzi kabisa.



DRC.jpg
 
Mkuu hali halisi ya badandari yako unaifahamu vema? Kwa adha zilizopo kwenye bandari zetu ni vema hiyo route kuliko kupitishia kwenye bandari zetu
 
Sijaona kosa hapo kwa kuwa miundo mbinu hiyo ipo wao wanachofanya ni kuongezea tu,anyway sidhani kama fursa za drc zitaisaidia tz .kwa mfumo huu tulionao sasa.
 
Kwa bahati mbaya bandari za DSM na Mombasa utendaji wake unafanana sana.
 
Back
Top Bottom