Barabara zetu

Barabara zetu

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Tunajenga barabara kwa garama za juu
Lakini tukumbuke pia kuzifagia na kutoa mchango,barabara nyingi mchanga huachwa
Mpk mchanga unafukiaa na kuficha lami kuonekana!
Hii ni barabara ya tandale kwenda sinza mchanga ndy umeanza hivyoo

Ova
20190705_125420.jpg
20190705_125414.jpg
 
Hiyo gari ukiwasha AC hakuna rangi utaacha kuona, hapo kwenye dash bod ndiyo mfuniko wa tank la petrol ulipo au macho yangu...
 
Mkuu halafu umepakizwa tu unasumbua, km ni lako gari shuka usafishe ww
 
Watanzania bwana unalalamika tu halafu ya kwako huyaoni safisha gari yako kwanza
 
Back
Top Bottom