kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Hawa ni vichaaa kabisa lakini wanatakiwa kujua mlutheri wao hatogusa ikulu...
Tume imempitisha kugombea kama Mtanzania...
Hawa ni vichaaa kabisa lakini wanatakiwa kujua mlutheri wao hatogusa ikulu...
Wapiga Kura wametuliaaa, wapo kanisani sasa Hivi wanaliombea Taifa Amani ,vibaka wapo wanadeki Barabara za Magufuri
Hawa ni vichaaa kabisa lakini wanatakiwa kujua mlutheri wao hatogusa ikulu...
=KuaminiMnachekesha sana hapo nazidi kuhamini usanii
Eeh lowasa apita musoma
Safisheni ya lami apite
Nani apite.. Lowasa
Lowa apite apite
Tengeneza ya lami apite
Dodoredofami remido solaso
Hawa ni vichaaa kabisa lakini wanatakiwa kujua mlutheri wao hatogusa ikulu...
Wapiga Kura wametuliaaa, wapo kanisani sasa Hivi wanaliombea Taifa Amani ,vibaka wapo wanadeki Barabara za Magufuri
Jamani jamani!Hiyo picha ya mwisho huyo jamaa mwenye shati jeupe si kaka yangu popoma GENTAMYCINE?
Kumbe ndio maana haonekani humu?
Kweli Magufuli alinena,kuna watu mchana wako CCM usiku UKAWA.
Daaa! Huyu maza amekaa poa sana!
Viva makamanda wa Musoma! Hakuna kulala mpaka baba Lowassa aingie ikulu ya Magogoni.
Kumbe Nifa hajakosea, wewe ndio huyo jamaa anayetarajia kufanya ushetani kwa huyo mama!Naona Maza Hapo Kabong'oa Halafu Huyo Jamaa Nyuma Yake Hapo Anaiseti Achomeke Tu Kimtindo. Huyo Maza Wa KIKURYA Anajua Mno KUCHUMA MBOGA.