tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 26,021
- 25,424
Kwa hali hii CCM itatokea wapi? Kweli ule muda wa MUNGU umeshafika! Hakuna namna tena!
umeona eeh? hakuna namna maana wananchi wamechoshwa na ufisadi wa CCM.
Kwa hali hii CCM itatokea wapi? Kweli ule muda wa MUNGU umeshafika! Hakuna namna tena!
Kuna watu lazima watapata stroke kabla ya 25/10
cc stroke, [MENTION]Lizabon[/MENTION], [MENTION]Tumainel[/MENTION], [MENTION]Mzeemwanakijiji[/MENTION].
Kiukweli huo mji wangu nawapenda sana na nyie nawaamini sio watu wa kutaniwa taniwa hovyo
Wakazi wa mji wa Musoma waamua kuonyesha mahaba kwa mkombozi wa Tanzania mh Edward Lowasa
Hakika mkoa wa Mara mabadiliko yamefika
Jamani jamani!Hiyo picha ya mwisho huyo jamaa mwenye shati jeupe si kaka yangu popoma GENTAMYCINE?
Kumbe ndio maana haonekani humu?
Kweli Magufuli alinena,kuna watu mchana wako CCM usiku UKAWA.
Donoa Donoa !!'Mwisho Tar 25/10/2015, Mtapiga Deki magereza endeleeni kufanya Mazoezi ya Deki
Wapiga Kura wametuliaaa, wapo kanisani sasa Hivi wanaliombea Taifa Amani ,vibaka wapo wanadeki Barabara za Magufuri
Mambo yazidi kuwa matamu
Hawa ni vichaaa kabisa lakini wanatakiwa kujua mlutheri wao hatogusa ikulu...
Wakazi wa mji wa Musoma waamua kuonyesha mahaba kwa mkombozi wa Tanzania mh Edward Lowasa
Hakika mkoa wa Mara mabadiliko yamefika