Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
halafu kuna mijitu humu jf inasifia ukelezaji wa ahadi za dhaifu eti kuna mtambo wa kusema uongo, kume ahadi zimetelekezwa. huko mikoani watu utadhani wapo motoni miaka 50 ya wizi wa magamba
Si hatujaanza kuchimba gesi, wewe tulia tukishachimba gesi ni kila kitu kitakaa sawa.Madini mengine walituibia wawekezaji kwa kuwa hatukuwa na wataalam
Yeah, lakini wakati ule Mkapa anawakaribisha jamaa wa kuchimba dhahabu, alisema kuwa mambo yatakuwa mazuri.
Sasa ni miaka 15 hamna kitu, gold zote zinaenda nje kinyemela.
Na vile jamaa zetu washakula 10% kwenye mambo ya mafuta hata kabla ya mafuta yenyewe kuanza kuchimbwa, hali yaweza kuwa hivi hivi kama kwenye maswala ya gold.
sasa hii ni barabara au ni mkusanyiko wa udongo mwekundu?Jamaa alisema hata yeye hajui kwa nini Tanzania ni maskini !! Maana mwanae ni bilionea !!