barabara za Tanzania

barabara za Tanzania

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
Hizi ndizo barabara za Tanzania (nchi yenye utajiri wa dhahabu, gas, mafuta, almasi, ardhi nzuri, n.k.).
Miaka 50 baada ya uhuru !!

2Q==
 
Attachments

  • barabara.jpg
    barabara.jpg
    155.3 KB · Views: 538
Ina maana kila siku tunavyoongea kuhusu nini kilichosababisha umaskini huu wewe ulikuwa hujasikia? Hii nchi inatafunwa na uongozi wa mafisadi wanaoamini wao ndio walileta uhuru kumbe bora tungebaki na ukoloni tukajua moja.Ni bora mkolono mweupe kuliko mkoloni mweusi.
 
Jamaa alisema hata yeye hajui kwa nini Tanzania ni maskini !! Maana mwanae ni bilionea !!
 
Attachments

  • barabara01.jpg
    barabara01.jpg
    44.5 KB · Views: 73
hiyo picha ya kwanza itakuwa MATIPWILI, bagamoyo
 
Makufuli kamsifia kwa kwenda kuzurura kwa wazungu ndio anapatiwa msaada wa kuzijenga,tusubirie trip zaid na zaidi.:flypig:
 
Makufuli kamsifia kwa kwenda kuzurura kwa wazungu ndio anapatiwa msaada wa kuzijenga,tusubirie trip zaid na zaidi.:flypig:

Hapo ndio kwenye mtego,
Sijui itangharimu safari ngapi za kwenda kwa wazungu ili ajenge barabara kama hizi hapa kwenye picha !!
Barabara hizi ziko hapo 'bondeni' aka South Africa !! Nchi ambayo haituzidi chochote kwa utajiri wa mali asili.
 
Attachments

  • south02.jpg
    south02.jpg
    117.9 KB · Views: 66
Si hatujaanza kuchimba gesi, wewe tulia tukishachimba gesi ni kila kitu kitakaa sawa.Madini mengine walituibia wawekezaji kwa kuwa hatukuwa na wataalam
 
Back
Top Bottom