Tabata ni sehemu maarufu sana kwa wakazi wa Dar es Salaamu, chaajabu eneo hilo haliendani kabisa na jina lake maana kuna kero kubwa ya barabara.
Mfano mimi naishi Tabata kisiwani, barabara ni kero sana hasa wakati wa mvua.
Najua wengi wameliongelea hili swala lakini mabadiliko hakuna kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.