si hayo tu!!!!!!ni mengi!!!
Kama Kikwete alivyosema hawezi kuleta mvua tupate umeme.Wabunge na madiwani hawawezi kuzuia mvua zishinyeshe
ndo maana yake!!!!ulidhani ya Mbowe?Yapi hayo?Au unamaanisha ya Jijini Mwanza?
ndo maana yake!!!!ulidhani ya Mbowe?
[B said:Ng'wana Sweke[/B]]
Wabunge na madiwani hawawezi kuzuia mvua zishinyeshe
Kama Kikwete alivyosema hawezi kuleta mvua tupate umeme.
pole kama nimekukwaza!!!Halafu unajiita Mwana Chadema.Wana CHADEMA ni watu makini pamoja na VIONGOZI WAO,sio ma IDIOT kama wewe.
Mwaka huu tumejaliwa kupata mvua zakutosha angalau mpaka kipindi hiki sijui huko mbele. lakini kila jambo zuri lina ubaya wake kwani mvua hizi zimeharibu miundo mbinu hasa barabara. hali hii inawaweka wawakilishi wetu katika mtihani wa kuwapima umakini wao. wambunge wetu mko wapi?
Madiwani wetu mko wapi? bunge tunajua limesimama na hivi karibuni hatujasikia mpango wa kuwepo kwa maandamano kokote. tuhamasishane tukarabati barabara zetu, au kwa vile nyinyi mlisema mkiwa wabunge matatizo yetu yote yataisha tutengenezeeni hizo barabara.
Mkuu barabara zinatengenezwa na maandamano?
Mpk sasa tumeshajua kumbe cdm jeuri yao ni kwenye majukwaa tu na maandamano coz jiji lote la mwanza kuanzia madiwani meya mpk wabunge wote ni cdm lakin hamna cha maana kila idara,mwanza iliyokua inachukua namba moja kwa usafi nasikia eti mwaka huu ndo jiji la kwanza kwa uchafu,wenje yeye amekalia kuwajali machinga tu baaasi!
Zingetengenezwa na Mabilion yaliyotumika Sherehe za 50 ya ("UHULU") wa Tanganyika...ama???