Barabara za Makao Makuu Dodoma

Dodoma itakufa 2025 tunarudi Jiji barka jiji maraha Dar es Salam.
Taka msitake.
 
hahahaahah et nzogole umenikumbusha mbali sana mkuu, tuliwahi kwenda kuchimba dhahabu huko mbelembele mpinga.....basi hapo nzogole watu wamelewa full time...
Sasa kama anatoka mpinga au Nzinji ataona msongamano saa ngapi huku kalewa na treni linapita baada ya masaa?hajui kutofautisha reli na barabara!
 
Kwa barabara kuu mimi naona shida kubwa ni malori ambayo zile ring road zikikamilika shida itapungua kama sio kwisha,kikubwa madereva wengi wa Dodoma hasa wa magari madogo,wana tabia flani hivi inabidi wabadilike,unakuta mtu yuko kwenye highway anatembea speed 20 au 30,ukimpigia honi kumuashiria unataka kupita hata hashtuki kwa raha zake,pia unakuta mtu anaacha umbali kati ya gari na gari nafasi kubwa inayoweza kukaa hata gari tatu au nne,hapo yuko highway na hata hajali kuwa nyuma kuna mlolongo wa magari yanayotakiwa kupita,kwakweli hili nimeliona sana Dodoma,naona hii ni swla la mindset wabadilike,mji umeshakuwa na magari mengi...
 
Kweli mkuu hata fair driving hawana!Lakini pia tarula na tanroad wawe haraka kutafuta matengenezo ya barabara za mchepuko zipo nyingi,shida wansogopa makorongo!!
 
Kwa barabara kuu mimi naona shida kubwa ni malori ambayo zile ring road zikikamilika shida itapungua kama sio kwisha,kikubwa madereva wengi wa Dodoma hasa wa magari madogo,wana tabia flani hivi inabidi wabadilike,unakuta mtu yuko kwenye highway anatembea speed 20 au 30,ukimpigia honi kumuashiria unataka kupita hata hashtuki kwa raha zake,pia unakuta mtu anaacha umbali kati ya gari na gari nafasi kubwa inayoweza kukaa hata gari tatu au nne,hapo yuko highway na hata hajali kuwa nyuma kuna mlolongo wa magari yanayotakiwa kupita,kwakweli hili nimeliona sana Dodoma,naona hii ni swla la mindset wabadilike,mji umeshakuwa na magari mengi...
Hii barabara toka Bungeni mpaka Kisasa, ni pana kuruhusu gari tatu kupishana. Nashauri michoro ibadilishwe kuendana na mahitaji ya sasa wakati tukisubiri upanuzi. Iwe Kama Pugu road toka Airport mpaka Gongo la Mboto. Nadhani hili likifanyika itawasaidia hata madereva wa Dodoma kubadilisha mtazamo kuwa Kuna uendeshaji wa haraka kwenye kitu kinachoitwa jiji na pia kujua ingekuwa ya gari hivyo kuacha kukaba nafasi bure ya barabara, ili wenye haraka wapite.
 
Mkuu upo sahihi kabisa na pia dodoma hakuna fair barabarani
 
Hii barabara toka Bungeni mpaka Kisasa, ni pana kuruhusu gari tatu kupishana. Nashauri michoro ibadilishwe kuendana na mahitaji ya sasa wakati tukisubiri upanuzi. Iwe Kama Pugu road toka Airport mpaka Gongo la Mboto. Nadhani hili likifanyika itawasaidia hata madereva wa Dodoma kubadilisha mtazamo kuwa Kuna uendeshaji wa haraka kwenye kitu kinachoitwa jiji na pia kujua ingekuwa ya gari hivyo kuacha kukaba nafasi bure ya barabara, ili wenye haraka wapite.
Uko sahihi mkuu!
 
Dodoma itakufa 2025 tunarudi Jiji barka jiji maraha Dar es Salam.
Taka msitake.
Hakuna kurudi Dar ni mitano tena kwenda mbele,na kuwa makao makuu Dodoma ipo kisheria kwa sasa,mitano tena tafuta tuu kiwanja ujenge ule bata kwa mitano tena🎼🎧🔕🔈🎤📠🔔📣📻
 
Kwa barabara kuu mimi naona shida kubwa ni malori ambayo zile ring road zikikamilika shida itapungua kama sio kwisha,kikubwa madereva wengi wa Dodoma hasa wa magari madogo,wana tabia flani hivi inabidi wabadilike,unakuta mtu yuko kwenye highway anatembea speed 20 au 30,ukimpigia honi kumuashiria unataka kupita hata hashtuki kwa raha zake,pia unakuta mtu anaacha umbali kati ya gari na gari nafasi kubwa inayoweza kukaa hata gari tatu au nne,hapo yuko highway na hata hajali kuwa nyuma kuna mlolongo wa magari yanayotakiwa kupita,kwakweli hili nimeliona sana Dodoma,naona hii ni swla la mindset wabadilike,mji umeshakuwa na magari mengi...
Tatizo polisi wa usalama barabarani ukiendesha zaidi ya speed 40 mjini unawekwa pembeni 30 inakuhusu kwahiyo usiwalaumu watu wanachukua tahadhari usawa mgumu huu.
 
Back
Top Bottom