Barabara za Kulipia Dar

Hapa ikitangazwa tenda kutakuwa na Pacent ya mtoaji leseni, utategemea nini? Kweli utaipata haki uliyokua unaitegemea? Barabara ambayo ulitegemea upite kwa buku kila gari utaambiwa itapitwa kwa 5000. Tuna safari ndefu sana
 
Hebu toeni leseni za private roads wenye plans na pesa wazijenge ili wenye haraka wachangie road toll wapite huko tuwaachie misululu yenu ya bure!!
Yeah, niliikuta hii Malaysia, lakini wao waliplan mji wakaacha nafasi za wazi, ndio maana imekuwa rahisi kwa private companies kuwekeza katika barabara. Sasa huku hata ukitoa leseni, hizo barabara zitajengwa wapi, hali kila mahali kuna nyumba?
 
Serikali ianzishe road tolls kwa magari yote yanayokuja downtown Dar. Mapato ya road tolls hizo yatachangia kupatikana kwa hela za kufanya ukarabati wa beltlines/beltways uanzishwaji wa metro trains (sio hiyo ya Mwakyembe).
Kila gari lilipe flat rate ya 500 TZS kila wakati litakapovuka toll na kuingia mjini.

Hiyo itakuwa fursa ingine ya kuongeza idadi ya mafisadi na ufisadi tu.
 
Mkuu nafahamu ulipiaji wa road toll katika kila lita unayonunua.issue ni kwamba kuubadili mji ni kazi zaidi kuliko kuongeza na kuimarisha barabara..kuna vitu kama bandari havihamishiki mkuu l

Yea bandari haihamishiki sawa iachwe , kuna umuhimu gani wa mawizara na hoteli kubwa kuwa posta , ?? Ok sizungumzii kuubadilisha mji nazungumzia kuanzisha miji mipya kwa gharama za ujenzi tu bila kufidia mtu , dar inatakiwa iexpand kuelekea kisarawe kwa sasa , hata hizo flyover wadau wanazoziongelea zinahitaji space ya kutosha sana zingeweza kujengwa kwenye mji mpya..

Kama umepata nafasi ya kutembea jiji la johannesburg kwa sasa ni jina tu , miji inayorepresent gauteng kwa sasa ni fourways boxburg n.k miji ambayo miaka michache iliyopita ilikuwa midogo sana. Nasi ilitakiwa tufanye hivyo badala ya kung'ang'ania kuboresha barabara za kuelekea posta
 
Mkuu umesomeka..tatizo ni mizigo tuliyonayo imebweteka
 
Tatizo lingine la nchi yetu ni kwamba kila mtu anataka kua na gari na kujionyesha ana gari, ukisha kua na gari basi utaonekana ndio mwenye maana. Mtu mwenye maana ni myule mchapa kazi, mwenye roho nzuri na anae jali utu wala si kua na gari au magari, hiyo ni fikra yangu.
Sasa tunge omba sana serikali yetu itusaidie kuliangalia hili tatizo. Kuna barabara zingine si lazima magari yapishane, kama huko kariakoo kuna barabara, unaweza ukafanya one way na mtaa unaofuata one way in opposite na parking za magari pia zika tengenezwa ili watu wasi park wanavyo taka. Na badhi za sehemu funga kabisa all private trafics kwa ajili ya public transport.
Tatizo lingine ni kwamba ni haohao wakubwa na mabossi ndio wanataka waonekane ma magari yao mjini ndio maana zoezi hili ni ngumu kufanyika ingawa ni rahisi kulifanya.
Public transport ikiwa ni nzuri na yenye uhakika sina haja ya kuchukua gari langu mpaka mjini au kuendea kazini wakati kuna daladala litanifikisha bila matatizo.
TUJALI NCHI YETU
 
Mkuu umeongea vitu personal sana kiasi mpaka unashindwa kusema hali halisi.. sitaki kuamini kama kuna watu bado wanadhani gari binafsi ni anasa !
Usafiri wa basi japo ni nafuu ,una limitation zake , na kuna wakati itakulazimu tu kufikiria hilo , mfano una mgonjwa .nk huwezi ukaniambia utapanda daldala,Matter of the fact ni kuwa bado kuna umuhimu mkubwa wa magari binafsi na wala hatujafika kwenye rate ya kusema ni mengi .
Ushauri unaotoa ni shortcut au majibu rahisi kwa maswali magumu, ndio exactly serikali inachofanya katika maamuzi yenye kuhitaji fikra zaidi. Tayari kodi za magari binafsi zimepanda sana ,ikiwa ni jitihada za kutekeleza hicho uachokidhani ni suluhu ya foleni.
Think big and deep utakuja kujua kuwa tunasumbuliwa na kisichosumbua!!
 
Ndio mkuu, hiyo ndio ilikua maana yangu ingawa sikuandika kikamilifu.
Tutumie magari pale yanapo hitajika, kama ulivyo sema kumsafirisha mgonjwa au kufanya shoping, jambo lolote lile la muhimu. Niko nje ya nchi na nina gari na hua silitumii kuendea kazini ni pale inapo bidi tu kwa sababu public transport ni nzuri na inanifikisha kwa mda uliotarajiwa. Na hivyo ndio inavyo takiwa iwe hapo TZ.
Kwa kweli panatia hasira DAR ukiwa na shughuli mbili au tatu kwa siku ushukuru kama utafikia kumaliza hiyo shughuli ya pili
 
Hali ya jiji la Dar Kwa sasa inatisha sana!! Sijui ni siasa imezidi au ndio Serikali imeamua Kupuuza Kila Kitu!! Jiji halina eneo tena la kujivunia kuwa hapa ndio Dar es Salaam!! Kwa leo nimepita maeneo ya kariakoo!! kwa kweli Huwezi Kutofautisha na Gulio!! Eneo lote la biashara kuanzia Lumumba hadi Msimbazi Hakueleweki!! Njia zote za waenda kwa miguu zimekuwa Maeneo ya kupanga Biashara, Barabara zimekuwa parking!! Hakuna pa kutembea Mwenda kwa Miguu!! Jamani vipi hawa mipango miji wanafanya nini sasa?
Bishara zimeziba kila kitu!!Naomba niwashauri watu wa Halmashauri za miji na Majiji ili kupunguza msongamano wa magari ni muhimu njia za waenda kwa miguu ziwe zinapitika, Waache siasa sheria ifanye kazi Yake!!
Pia maeneo ya Lumumba karibu na office ndogo za chama kuna mtu kaamua kabisa kuziba njia ya waenda kwa miguu na kufungua Biashara!! Hii ni aibu sana
 
Suluhisho la kudumu ni flyover, chanzo cha foleni ni kwenye mkautano, kama makutano mengi yatakuwa yanapitika bila vikwazo basi itakuwa hakuna foleni! Pesa zipo.
Kweli Mkuu inawezekana na kukidhi kwa miaka mingi....
images

images
images
tena ya kawaida tu !!
 
Back
Top Bottom