Walevi wanaoendesha magari na pikipiki waanze kwa kuwafutia leseni na faini kubwa then akikutwa hana leseni na anaendesha jela slowly but aggressively mayb tutaokoa maishaUkiwa kama mwanadsm na Mtanzania unayependa maslahi ya nchi yako unashauri nini kifanyike kutatua tatizo hili?
Ni kweli. Jumamosi usiku nikiwa zangu mitaa ya sinza kuna jamaa kidogo anitangulize mbele za haki. Jamaa alikuwa na kivitz chake anatokea kule La Chaaz. We jamaa wa kivitz cha kijivu kama unasoma hapa pokea p.u.m.b.a.vu zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ana taarifa?Kwa uchnguzi wangu mdogo barabara za dar ni moja ta sehemu hatari sana hasa nyakati za usiku.
Pengine kwa sababu muda huo kunakua hakuna matrafiki na watu wengi wanakuwa wametoka kupata moja moto ukitembea huwezi kukosa wastani wa ajali 3-5 huko mabarabarani na zingine zinagharimu maisha ya watu kwa sababu watu wanajiachia sana barabaran muda huo. Mwanadsm beware na safari usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hili neno vitasa lilianzia wapiKuna jamaa moja lilikuwa limelewa mida ya saa kumi na moja alfajiri siku ya jumamosi halafu linaendesha gari njia nzima kaitawala yeye tulishuka kwenye gari tulimpa vitasa hadi kituo cha polisi pombe zilikata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlifanya jambo la busara sana.Kuna jamaa moja lilikuwa limelewa mida ya saa kumi na moja alfajiri siku ya jumamosi halafu linaendesha gari njia nzima kaitawala yeye tulishuka kwenye gari tulimpa vitasa hadi kituo cha polisi pombe zilikata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza ukawa makin ukashangaa mtu anakufata hukohuko uliko. Tatizo wengi wanaendesha wakiwa wamelewa.
Mkuu hata traffic police anaku charge fine sababu unahatarisha usalama wa wengine,ingekuwa wewe mwenyewe wangekuwa wanapotezea tu.Yaani hadi huruma.
Nyingi za ajari hizo husababishwa na shetani pombe.
Anyway, kila mtu atavuna alichopanda.
Acha wafe tu, hakuna namna.
Raha yako is equal to kifo chako
Kwakweli ili kuanza kupunguza tatizo,nashauri serikali ifunge bar zote kuanzia ijumaa mpaka jtatu asubuhi.[emoji13] [emoji13] .Ukiwa kama mwanadsm na Mtanzania unayependa maslahi ya nchi yako unashauri nini kifanyike kutatua tatizo hili?
Safi,ila sio vizuri kujichukulia sheria mkononi labda kwa hicho kipondo jamaa roho ingeacha mwili inamaana nyinyi mngeingia matatizoni.Kuna jamaa moja lilikuwa limelewa mida ya saa kumi na moja alfajiri siku ya jumamosi halafu linaendesha gari njia nzima kaitawala yeye tulishuka kwenye gari tulimpa vitasa hadi kituo cha polisi pombe zilikata.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani wewe hujawahi tembea usiku, KISHONDO kumbuka kifo hakina mtu, usiwaombee wenzio kifo ndugu yangu, zaidi sana kama ni mwamini Mungu kama mimi, tuombee hizi roho za ulevi, zimeteka sana watu si tu tz duniani kwa ujumlaYaani hadi huruma.
Nyingi za ajari hizo husababishwa na shetani pombe.
Anyway, kila mtu atavuna alichopanda.
Acha wafe tu, hakuna namna.
Raha yako is equal to kifo chako