Barabara ya Rusahunga Rusumo katika picha

Barabara ya Rusahunga Rusumo katika picha

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Katika picha ni hali halisi ya barabara ya Rusahunga Rusumo 92km miaka 60 baada ya uhuru.

Kwa hakika nia njema ya kuwa na miundo mbinu kama ya Ulaya - tungali na safari ndefu.

Katika picha ni hali kama ilivyo leo.

Labda pamoja na makelele mengi angalau maji yamemwagwa barabarani:

IMG_20201019_075413_544.jpg

Nyuma kwenye kiyoyozi ni TANROADS na mbele kwenye pickup ni vibarua mahili kuelekea kazini:

IMG_20201019_073003_722.jpg

Hali ya barabara nzima inaendelea kuwa hivi:

IMG_20201019_073624_493.jpg

IMG_20201019_045100_452.jpg

IMG_20201019_090754_877.jpg

IMG_20201019_043906_720.jpg

Picha zaidi kufuata.
 
Bora wamekwangua lile tabaka la lami vishimo.
 
Hii ni katika kufuatilia ujumbe uliomo kwenye comment hii pamoja na utopolo uliomo:

IMG_20201019_092746_675.jpg

Yaonekana baada ya hiyo iliyokuwa jana (siku 3 zilizopo ya) sasa TANROADS wameamka, barabara inamwagiwa maji na wanajitahidi kufika na kushuhudia ajali site zinazoletwa na uzembe wao.

Katika picha kwenye wekundu ni TANROADS wamefika huku pia:

IMG_20201019_093202_970.jpg

Yetu macho 12Bn/- hadi zienee.

Vinginevyo baada ya Oct 28 itabidi tuelezane hata kama zilitumika kutengenezea mabango hewa ya CDM.
 
ndiyo maana tunaikataa CCM kwa nguvu zote!
 
Siku wananchi wakiitoa CCM, ukaingia utawala wa upinzani wananchi wakapata uhuru na amani ambayo hawajawahi kuipata.

Uhuru wa habari, wakujieleza, kufanya kazi kwa amani bila uonevu wa vyombo vya kodi na usalama, uhuru wa kusafiri bila kuonewa na trafic police, kuishi bila kuonewa na vyombo vya dola, kubambikizwa kesi na kodi.

Ndio wananchi watakavyo amka zaidi na kuichukia CCM na kuona imewachelewesha mambo mengi sana. Haitakuja kushika madaraka milele tena.
 
Jamaa anadhani anaikomoa Kagera kumbe anajikosesha mapato mwenyewe kutoka kwa IT
 
Hii ni katika kufuatilia ujumbe uliomo kwenye comment hii pamoja na utopolo uliomo:

View attachment 1604670

Yaonekana baada ya hiyo iliyokuwa jana (siku 3 zilizopo ya) sasa TANROADS wameamka, barabara inamwagiwa maji na wanajitahidi kufika na kushuhudia ajali site zinazoletwa na uzembe wao.

Katika picha kwenye wekundu ni TANROADS wamefika huku pia:

View attachment 1604669

Yetu macho 12Bn/- hadi zienee.

Vinginevyo baada ya Oct 28 itabidi tuelezane hata kama zilitumika kutengenezea mabango hewa ya CDM.
Mabango hewa ya........?????????
 
Katika picha ni hali halisi ya barabara ya Rusahunga Rusumo 92km miaka 60 baada ya uhuru.

Kwa hakika nia njema ya kuwa na miundo mbinu kama ya Ulaya - tungali na safari ndefu.

Katika picha ni hali kama ilivyo leo.

Labda pamoja na makelele mengi angalau maji yamemwagwa barabarani:

View attachment 1604620

Nyuma kwenye kiyoyozi ni TANROADS na mbele kwenye pickup ni vibarua mahili kuelekea kazini:

View attachment 1604630

Hali ya barabara nzima inaendelea kuwa hivi:

View attachment 1604633

View attachment 1604636

View attachment 1604641

View attachment 1604651

Picha zaidi kufuata.
😵😵
 
Jamaa anadhani anaikomoa Kagera kumbe anajikosesha mapato mwenyewe kutoka kwa IT

Anunuaye ndege cash wakati ana barabara kuu iliyo kama hii kwamba yuko vizuri? Ila mwenyewe alishasema ni kichaa.
 
Back
Top Bottom