Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,695
- 2,553
Mnaotumia barabara ya Morogoro, Kibaha Mlandizi au Chalinze Mlandizi hali bado ni tete. Wenye mko na njia mbadala jiongezeni au subirini.
Kama sio lazima sana kusafiri ebu subirini, manake malory yanayozima yanaongezeka na kuleta maafa zaidi, ameaga mwingine dunia baada ya kudondoshwa na boda boda na kukanyagwa na gari.
Njia yetu ni nyembamba na magari ni mengi sana na vyombo vyetu vya majanga bado haviko tayari kutuokoa. Traffic tulifikiri zile fine labda muda kama huu zingetufaa lakkni tunaendelea kuwa ndugu watazamaji.
Wenye magari mabovu, mafuta videbe na safari zisizo za lazima tunawaombeni mtulie kwanza mpaka barabara itakapo rudi katika hali yake ya kawaida.