Nijuavyo kutoka kijiji cha mbali kabisa cha Uru Kishumundu hadi mjini Moshi kati ni maili kumi
-wajasiria mali wadogo 45% wanatoka Kishumundu unaowaona Moshi mjini
-Kishumundu kwa mwendo wa Mguu ni saa moja na nusu tu jambo hlli haliwezekani sehemu nyingine ya moshi
-kila mtu wa Uru anaweza kwenda kutafuta huduma mjini saa yoyote na siku yoyote sehemu nyingine mtu aweza zaliwa hadi umri utu uzima bila kufika mjini
Kishumundi ni sehemu pekee wanakoishi koo zote za Wachaga kama,MUSHI,MASAWE,NGOWI,MOSHA,CHUWA,AKARO,MATERU,KESI,MTALO,OFOO,MMBANDO,ORIO,KISAMO,OWENYA,MREMA,MARIALE Na kadhalika
Uru ina wasomi wengi mno
-uru ina watumishi wengi wa ngazi ya kati serikalini
-uru ina wafanya biashara wengi mno wa ngazi ya kati
-kwa taarifa maji yote,mbogamboga ,ndizi,asilimia kubwa zinatoka Uru
-Wanawake wazuri,wapole,wachapa kazi,waumini,wasio na tamaa hata nanihiii alitoka Uru
pima mwenyewe huo ushamba uko wapi,mwacheni docta waukweliatekeleze ahadi.