KERO Barabara ya kwenda Liwale haifaiiii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
462
Reaction score
540
Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea via tunduru tunaomba lami kutoka liwale to dar es salaam lami tunaomba kutoka liwale to morogoro via kilombero tunaomba lami keroooooooooo uwiiiiiiiiii๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 

Attachments

  • 1743867007819.jpeg
    141 KB · Views: 20
Mkuu hiyo barabara kutoka Nangulukulu hadi Liwale bado tu?
 
Kwa Liwale Barabara zitakazo leta mapinduzi ni Kuunganisha Lami hadi Nangurukuru, then Liwale tu Morogoro.

Tusubiri No Reform No Election kwanza
 
LIWALE -NACHINGWEA barabara ya lami is now loading ...............Hapa itabidi usubiri mpaka budget mpyq ya mwaka WA fedha 2025-2026.


Kwa SASA muone mwenyekiti WAko WA mtaa uliyemchagua Kwa kishindo .

Cc Lucas Mwashambwa ako Kwa kiti chako Kama chawa mwandamizi ๐Ÿ˜ธ๐Ÿ˜ธ๐Ÿ˜ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ