Barabara ya Kilwa bomu?

Kuna haja ya kuchunguza usanifu na ujenzi wa hii barabara....kuna kitu hakiko sawa mahala fulani.

Kuna haja barabara hii kufanyiwa Technical Audit kuthibitisha viwango vyake!!

tena kamati itayofanya Technical Audit iwe na watu kama

1.Lole Gwakisa
2.Mkuu Webby (Waberoya)
3.Roya Roy
4.Morani75
5.Mkuu Fundi Mchundo aka "Uwiano Usio Maalum"
6.Robot (Invisible)
 
tena kamati itayofanya Technical Audit iwe na watu kama

1.Lole Gwakisa
2.Mkuu Webby (Waberoya)
3.Roya Roy
4.Morani75
5.Mkuu Fundi Mchundo aka "Uwiano Usio Maalum"
6.Robot (Invisible)
Bila kumsahau Mwakaleli
 
Wale wakandarasi waliwahi kulalamika kwamba vifaa vyao vinaibiwa sana, sasa tunatarajia tupate kiwango gani cha barabara.

Kila mtu anakula chake mapema
 
tena kamati itayofanya Technical Audit iwe na watu kama

1.Lole Gwakisa
2.Mkuu Webby (Waberoya)
3.Roya Roy
4.Morani75
5.Mkuu Fundi Mchundo aka "Uwiano Usio Maalum"
6.Robot (Invisible)

Mkuu unatafutia ulaji hivi hivi.....si unajua tena mtu ukipata nafasi kama hii unasahau kwanza umma uliokutuma? Guys....japo its only a proposal by a jf member, i can see myself in a Vogue ride. :D.
Serious note: Ni vigumu kuamini kwamba kosa la mkandarasi pekee latosa kufanya barabara (iliyosanifiwa vizuri) kuharibika mapema kama hii ya Kilwa!
 
Back
Top Bottom