Watu tunalilia maji na umeme wa mgawo ww nyenge mkeni mitomingi unatAka barAbara ya lami?
Cjui kama yupo anae lilia ndege wakati yupo kwenye giza totoro na hana uhakika wa kuoga ucku baada ya kupiga game na mkewe!Wengine wanalilia ndege!
Nimesoma kule.. miaka takribani 15 iliyipita.. ni kitambo njia ni mbovu hiyoNdio hiyo hiyo. Ni mbovu haifai