BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 422
- 1,049
Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika sana, tunaomba hii taarifa imfikie Mbunge wetu ni Jerry Silaa.
Imfikie ndio Ila endeleeni Kula vumbi ana mambo mengi hivi hamna madiwani au hamkuwachagua? Hamjawahi kuwahoji hao madiwani mliowachagua wanafanya kazi gani hapo kwenu? Mmekaa barabara mbovu wao wapo tu wanawaangalia?imfikie Mbunge wetu ni Jerry Silaa.
Yenye lami beiKwanini mmejenga sehemu ambayo haina lami?
Kwani kuna aliyelazimishwa kwenda kujenga huko?
Dar ina maeneo mengi yenye lami. Mngeenda huko!
Kuna mengine wametekeleza, sasa nawauliza mleta mada hamna madiwani huko?Huko mlifanya makosa sana kumchagua waitara na Jerry slaa
Basi komaeni na tope. Muda si mrefu lami inakujaYenye lami bei
Kwanini mmejenga sehemu ambayo haina lami?
Kwani kuna aliyelazimishwa kwenda kujenga huko?
Dar ina maeneo mengi yenye lami. Mngeenda huko!
Mbunge wenu anakuna pumb.u tu anasema hata akipitidha greda Bado mvua zinanyesha zitaharibu tenaBarabara ya Banana Kitunda (Dar es Salaam) imekuwa ni kero kubwa sana kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia.
Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika sana, tunaomba hii taarifa imfikie Mbunge wetu ni Jerry Silaa.
Hapo unapopaona zamani kulikuwa na lami..
Zamani Barabara hiyo ilikuwa na lami kutokea barabara ya Pugu road Banana mpaka Kitunda, baada ya kuharibika sana na kutengeneza mashimo makubwa waliamua kuikwangua sehemu kubwa lakini zipo sehemu chache bado zina lami..Hapana
Umenikumbusha nukuu ya zamani ya yule binti wa Mfalme wa Ufaransa aliyekuwa anashangaa wananchi wanaandamana kwa sababu bei ya Mkate imepanda. Akauliza kwa mshangao "Kwa nini wasile Keki badala ya Mkate kama umepanda bei?" "Let them eat cake" in original French "Qu'ils mangent de la brioche"Kwanini mmejenga sehemu ambayo haina lami?
Kwani kuna aliyelazimishwa kwenda kujenga huko?
Dar ina maeneo mengi yenye lami. Mngeenda huko!