Ata siamini kama wanaweza fanya utumbo huu yanii sehem hatarishi hivo wamekosa sehemu za kupitisha hiyo barabara…!!
Nyang'oroTatizo hapo hakuna lami
Ila kuna mlima mmoja njia ya Dodoma-Iringa jina limenitoka ila ule mlima ni nimo kabla ya kuwekwa lami ulikuwa mbaya zaidi ya huo
Nyang'oro
Hii Kama lushoto ukienda kile chuo cha mahakama au Mazinde Juu .
Ni sawa tu na kitonga kwa ukali wa bonde, labda unafuu wa kitonga ni miti ipo ipo angalauKitonga haioni ndani hapo labda ile ya 1960s,vp ulipita?
Hii ni balaa😱hii je?
Mzee panaitwa NYANG'ORO...inatisha mbaya vile.Tatizo hapo hakuna lami
Ila kuna mlima mmoja njia ya Dodoma-Iringa jina limenitoka ila ule mlima ni nimo kabla ya kuwekwa lami ulikuwa mbaya zaidi ya huo