Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,198
Je, ingelikuwa wewe upo ndani ya mojawapo kati ya haya magari, ungeshuka au ungekausha tu humo humo ndani ya gari?
Je...???ingelikuwa wewe upo ndani ya mojawapo kati ya haya magari...je??? Ungeshuka au ungekausha tu humohumo ndani ya gari?
View attachment 316430
Bora nishuke tuu....Je...???ingelikuwa wewe upo ndani ya mojawapo kati ya haya magari...je??? Ungeshuka au ungekausha tu humohumo ndani ya gari?
View attachment 316430
Yan kama upareni hivyo hivyo dahh ...kila nikiwaza kwenda ukweni akili inagota hapo tuuJe...???ingelikuwa wewe upo ndani ya mojawapo kati ya haya magari...je??? Ungeshuka au ungekausha tu humohumo ndani ya gari?
View attachment 316430
Kitonga haioni ndani hapo labda ile ya 1960s,vp ulipita?Kama sijawahi shuka milima ya kitonga huko Iringa, basi hata hapo ningeendelea kuwa ndani ya gari huku nikipitia JF.