Barabara muhimu itakayomuondoa Halima Mdee, Makonde-Baraza la Mitihani-Goba rd

Barabara ya Makonde-Baraza la Mitihani hadi kuunga Goba rd, ni kiungo muhimu sana kwa wakazi wa Mbezi.

Barabara hii ni kubwa sana na kulu Mbezi Juu kuna vigogo muhimu kama Katibu zMkuu TAMISEMI na mkuu wa TAKUKURU,ambao kwa nyadhifa zao kukaa kule ni lazima zingepata jicho la utofauti.

Mbunge Halima Mdee hajawahi kusikika si bungeni tu hata kwenye vyombo vya habari, akipigia chapuo ujenzi wa barabara hii.
Makonda pamoja na ugeni wake jijini ingalau aliipigia debe barabara ya Afrikana-Salasala na ujenzi ulianza.

Wananchi wa sehemu hizo wameapa kumzomea Halima Mdee kila atakapokuwa kama akijidai kufika kuomba kura sehemu hizo.
Kwa sasa hivi barabara hii inatunzwa kwa kujitolea na mkazi wa sehemu hizo ambaye ni mkandarasi, na kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 15.

Sasa naona anaishiwa vocha!

Wananchi wanataka mbunge, na si Halima Mdee, atakaye wasiliana na TARURA kupigia chapuo ujenzi wa barabara hii.
Angalia hadi mwisho
 
Katika mkoa unaongoza kuwa na watu wajinga Dar,Mbunge anatoa wapi pesa za kujenga barabara
No wonder waitwa kamongo, samaki mtamu asiye na akili.
Mchukueni mumpakate Halima na mpenziwe wa moyo Ester Bulaya mkawasaidie kukaa selo ya wanawake pamoja badala ya kutatua kero za barabara kwa wananchi.
 
No wonder waitwa kamongo, samaki mtamu asiye na akili.
Mchukueni mumpakate Halima na mpenziwe wa moyo Ester Bulaya mkawasaidie kukaa selo ya wanawake pamoja badala ya kutatua kero za barabara kwa wananchi.
Huna akili kabisa na kwangu mimi wewe ni zumbukuku kwani hujui nini unakisimamia
 
Halima amekuwa serikali inayokusanya kodi hata alumiwe kwa narabara. I think all women of Kawe should stand with her!
 
Miaka mitano hatujawahi kumwona akipiga jimboni Kawe kutatua kero za barabara.
Makonda kaja na kaingilia barabara mbovu ya Salasala, ingalau inatengenezwa kiwango cha lami.
nadhani akili zimemtoka tayari yule dada..sio bure..road ya njia panda wazo mpaka njia nne goba inasusua kwenye matengenezo
 
Kwani kuchagua upinzani ni kosa?
Mbona wapo kikatiba?!

Ishu haipaswi kuwa CCM au chama cha upinzani ishu inapaswa kuwa mtu mahiri wa kuweza kuwakilisha wananchi vyema .

Hata upinzani mfano wakibadilisha mgombea jimbo la kawe wakamuweka mwingine mfano wakamuweka mgombea kuwa John Heche Yani nakuambia atashinda kwa kishindo kikubwa sana.

Hatupaswi kuangalia wa chama gani tunapaswa kuangalia mtu gani!

Ndiyo maana kwa kuwa chadema wameendelea kumuacha Halima kuwa mgombea wao basi hali hiyo inafanya watu waanze kuangalia wagombea wa vyama vingine ikiwemo CCM
Fuatilia wapinzani na wananchi kwenye majimbo ya upinzani wanataka kueleza matatizo yanayowakabili, majibu wanayopewa siyo ya Rais.
 
Hilo ni mojawapo ya matatizo ya Halima,

Haonekanagi kwa wananchi kabisa kusikiliza kero zao na kwenda kushirikiana na Serikali katika kuzitatua.

Off course amekuwa akifanya kazi kimya kimya bila wananchi kujua mfano swala la kufuatilia maji maeneo ya Salasala, Kinzudi, Goba, mbezi juu n.k

Halima alikuwa anashinda DAWASA kwa meneja Kawe kila mara kufuatilia maji mpaka yalipopatikana ingawa ni ya mgao na mgao wenyewe ni ilimradi bado huduma ina changamoto kubwa sana.

Sasa wananchi hawajui kama mbunge wao amekua akifatilia bega kwa bega akishirikiana na DAWASA ktk kupata huduma ya maji.

Angekuwa anakutana nao mara kwa mara na kuwapa mrejesho watu wangemuelewa na kuzidi kumkubali.

Lakini sasa hivi yanahitajika mabadiliko.

Wananchi wa Kawe wanajielewa sana kwa wastani ingawa hata wanafiki wapo!

Wanafiki wanazidiwa na wale wanaojielewa huo ndiyo uzuri.


Goba ipo jimbo la Kibamba siyo Kawe
 
Back
Top Bottom