Barabara mpya ya Morogoro (STRABAG) inavunjwa

Barabara mpya ya Morogoro (STRABAG) inavunjwa

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,213
Reaction score
9,334
Wakuu,

Kwa wale ambao tumepita Morogoro road kwa siku mbili hizi tumeshuhudia barabara mpya ya Morogoro kuanzia Ubungo hadi Kimara inavunjwa hali inayosababisha foleni kubwa sana.

Duru zinasema Benk ya Dunia ambao walitoa pesa za kufadhili mradi huo hawakuridhika na kiwango cha barabara hiyo ukilinganisha na pesa iliyotolewa.

My take: Ni lini Dar es salaam itakuwa na barabara nzuri angalau za kufikia kiwango cha majiji kama ya Nairobi, Mombasa na Kisumu?
 
Tanzania, kazania, tanzagiza, tanzia??????
 
Tukiongea tunaonekana wabaya, kwa hiyo hizo hela zilizoenda si hasara jamani
 
Msaada ulitolewa kwa sharti Mkandarasi huyo ndio apewe kazi na hilo likatekelezwa sasa underperformance ya kazi ni kwa gharama za mkandarasi mwenyewe na hiyo ipo Dunia nzima na hata akishakamilisha kazi huwa hawalipwi fedha zote kuna kiwango huachwa kinaitwa Retention ikitokea kuna matatizo huamriwa kurudi kutengeneza akigoma inachukuliwa ile retention kugharamiwa
 
Total Demolition?Labda ukomo wake wa kutumika umefika - Decommissioning ina muda sasa tangu ijengwa hivyo labda wanapisha ujenzi wa flyovers. Mambo ya kihandisi haya
 
barabara km 12 inachukua miaka wakati ilikua imergence plan....god have mercy on us
 
Total Demolition?Labda ukomo wake wa kutumika umefika - Decommissioning ina muda sasa tangu ijengwa hivyo labda wanapisha ujenzi wa flyovers. Mambo ya kihandisi haya
ungejionea hali halisi usingegusia mambo ya fyl over
 
Back
Top Bottom