BARA LETU LA AFRIKA NJAA TUPU JAMANi

BARA LETU LA AFRIKA NJAA TUPU JAMANi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
76873_357312007688082_829350004_n.jpg
 
Tunaishi kwenye ulimwengu ambao kuna matunda mengi kwenye shampoo ya tajiri kuliko kwenye chakula cha maskini
 
inasikitisha. God bless africa
Bara la Afrika kuna kila kitu cha neema Ardhi nzuri,Madini yapo,Mafuta yapo na Gesi ipo lakini hatuna viongozi wazuri. Viongozi wetu wengi wao ni mafisadi wala rushwa wezi na majambazi tutaendelea kweli jamani? Tutakuwa siku zote ni masikini na watu tunao omba omba tu mpaka mwisho wa dunia.
 
Mbona amewekwa kwenye nchi yetu kabisa? Why not sudan?
 
Back
Top Bottom