Bara la Ulaya kichaka cha vibaraka na wahaini

Bara la Ulaya kichaka cha vibaraka na wahaini

""Rais Magufuli ameshafanya miujiza ambayo hata Yesu hakuwafanyia wana wa Israeli. Nyie vibaraka endeleeni kutumika kuichafua nchi.""

Hapo kidogo mnapita KIWANGO cha kusifia, mnakufuru. Si vizuri kabisa. Jirekebisheni sana. Mnamsifia hadi mnamuharibia? Mbaya sana hii
 
Back
Top Bottom