Bara la Ulaya kichaka cha vibaraka na wahaini

Siku za hivi karibuni, kumekuwa kunajitokeza vijana Watanzania, nje ya nchi, ambao hakuna wanachokifanya huko, zaidi ya kuichafua serikali yetu.

Mbaya zaidi, vijana hao, wanafanya kazi za kukusanya watu na vikundi ili waichafue serikali huku wakishirikiana na baadhi ya mataifa huko Ulaya kwa lengo la kuichafua serikali yetu.

Juzi alibainika kijana Goodluck Haule, ambaye anatumiwa na Mabalozi ya Uingereza, Marekani na Canada kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Baada ya utafiti wa kina, tumembaini huyu kijana aitwae Yussuf Bilal, ambaye anaishi Paris Ufaransa, huyu anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Yussuf Bilal ni nani ?

Alizaliwa mwaka 1986 Kinondoni, Dar es Salaam. Ni kabila la Mshirazi kutoka Unguja, visiwani Zanzibar. Baada ya kuhitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi Kambangwa iliyopo Kinondoni, inasemekana alikwenda nchini Ufaransa na kupata elimu ya sekondari hadi chuo. Aliporudi nchini mwaka 2010, aliendeleza masomo yake ya lugha ya Kifaransa hapo Upanga katika chuo cha ubalozi wa Ufaransa ambapo aliajiriwa mwaka 2013, na hapo ndipo ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa ulipoanzia.

Mwaka huo alijiunga na Chama Cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar. Kutokana na uwezo wake wa kuongea lugha nyingi za kimataifa kama vile Kiingereza, Kihispania na Kifaransa, alijiunga na watalii visiwani humo na kuanza kufanya nao kazi kama tour guide.

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, alianza kuonekana mitandaoni huku akiichafua serikali ya awamu ya tano na kupinga uhalali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, akiamini kuwa Ubalozi wa Ufaransa kama muajiri wake, utamlinda kwa uhaini huo. Lakini umoja wetu, umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi, vijana wenye mapenzi mema na taifa letu, tulianza kumfuatilia na kuchunguza kila anachokifanya.

Mwaka 2015 mwishoni, kupitia redio ya Kimataifa ya Ufaransa, alidiriki kuzichafua serikali zote mbili (ya muungano na ile ya mapinduzi ya Zanzibar).

Kutokana na ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa nchini, alipewa wadhifa kukiongoza chama cha walimu wa Kifaransa Tanzania mapema 2018.

Baada ya kumuonya mara kwa mara kutokana na kashfa alizokuwa akizitoa mitandaoni, kijana huyu Yussuf Bilal alitoroshwa na mabosi wake (Ubalozi wa Ufaransa) na kukimbilia nchini Ufaransa Agosti 2018. Kwa sasa anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli kupitia ukurasa wake wa Facebook ‘Chez Nous En Tanzanie’.

Anatumia ukurasa huo kwa kutangaza habari za Tanzania kwa lugha ya Kifaransa, lakini makala yake mengi anayochapisha humo, ni kashfa na matusi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Nchi yoyote duniani, watu kama hawa, hukumu yao ni kifo au kifungo cha maisha, tena katika jela ngumu ambapo watakuwa wakifanya kazi ngumu, usiku na mchana !.

Tutawatafuta popote, kwa gharama yoyote na mtaangamia !

Rais Magufuli ameshafanya miujiza ambayo hata Yesu hakuwafanyia wana wa Israeli. Nyie vibaraka endeleeni kutumika kuichafua nchi.

Na mnachokifanya huko Ulaya tayari tunakifahamu ! Mnatakiwa mshughulikiwe wahaini nyie !

Mungu mlinde JPM !
Uhaini (*Kutokana na Wikipedia*)(kutoka neno la Kiarabu) ni pale mtu anapotenda jambo dhidi ya nchi yake. Kwa mfano, mtu anaweza kuisaidia nchi nyingine ipigane vita dhidi ya nchi yake kwa kutoa habari za siri.

Uhaini ni neno la kawaida, lakini nchi tofauti zina sheria na adhabu tofauti dhidi ya matendo ya kihaini, hata adhabu ya kifo.
 
Siku za hivi karibuni, kumekuwa kunajitokeza vijana Watanzania, nje ya nchi, ambao hakuna wanachokifanya huko, zaidi ya kuichafua serikali yetu.

Mbaya zaidi, vijana hao, wanafanya kazi za kukusanya watu na vikundi ili waichafue serikali huku wakishirikiana na baadhi ya mataifa huko Ulaya kwa lengo la kuichafua serikali yetu.

Juzi alibainika kijana Goodluck Haule, ambaye anatumiwa na Mabalozi ya Uingereza, Marekani na Canada kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Baada ya utafiti wa kina, tumembaini huyu kijana aitwae Yussuf Bilal, ambaye anaishi Paris Ufaransa, huyu anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Yussuf Bilal ni nani ?

Alizaliwa mwaka 1986 Kinondoni, Dar es Salaam. Ni kabila la Mshirazi kutoka Unguja, visiwani Zanzibar. Baada ya kuhitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi Kambangwa iliyopo Kinondoni, inasemekana alikwenda nchini Ufaransa na kupata elimu ya sekondari hadi chuo. Aliporudi nchini mwaka 2010, aliendeleza masomo yake ya lugha ya Kifaransa hapo Upanga katika chuo cha ubalozi wa Ufaransa ambapo aliajiriwa mwaka 2013, na hapo ndipo ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa ulipoanzia.

Mwaka huo alijiunga na Chama Cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar. Kutokana na uwezo wake wa kuongea lugha nyingi za kimataifa kama vile Kiingereza, Kihispania na Kifaransa, alijiunga na watalii visiwani humo na kuanza kufanya nao kazi kama tour guide.

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, alianza kuonekana mitandaoni huku akiichafua serikali ya awamu ya tano na kupinga uhalali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, akiamini kuwa Ubalozi wa Ufaransa kama muajiri wake, utamlinda kwa uhaini huo. Lakini umoja wetu, umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi, vijana wenye mapenzi mema na taifa letu, tulianza kumfuatilia na kuchunguza kila anachokifanya.

Mwaka 2015 mwishoni, kupitia redio ya Kimataifa ya Ufaransa, alidiriki kuzichafua serikali zote mbili (ya muungano na ile ya mapinduzi ya Zanzibar).

Kutokana na ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa nchini, alipewa wadhifa kukiongoza chama cha walimu wa Kifaransa Tanzania mapema 2018.

Baada ya kumuonya mara kwa mara kutokana na kashfa alizokuwa akizitoa mitandaoni, kijana huyu Yussuf Bilal alitoroshwa na mabosi wake (Ubalozi wa Ufaransa) na kukimbilia nchini Ufaransa Agosti 2018. Kwa sasa anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli kupitia ukurasa wake wa Facebook ‘Chez Nous En Tanzanie’.

Anatumia ukurasa huo kwa kutangaza habari za Tanzania kwa lugha ya Kifaransa, lakini makala yake mengi anayochapisha humo, ni kashfa na matusi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Nchi yoyote duniani, watu kama hawa, hukumu yao ni kifo au kifungo cha maisha, tena katika jela ngumu ambapo watakuwa wakifanya kazi ngumu, usiku na mchana !.

Tutawatafuta popote, kwa gharama yoyote na mtaangamia !

Rais Magufuli ameshafanya miujiza ambayo hata Yesu hakuwafanyia wana wa Israeli. Nyie vibaraka endeleeni kutumika kuichafua nchi.

Na mnachokifanya huko Ulaya tayari tunakifahamu ! Mnatakiwa mshughulikiwe wahaini nyie !

Mungu mlinde JPM !
Hiyo ndio maana ya neno uhaini, kuikosoa serikali au kusema mapungufu ya serikali/viongozi hiyo siyo uhaini. Uhaini ni pamoja na kula njama za kuipindua serikali. Sina shaka kama ulikuwa hujui maana ya uhaini sema unataka kuwalisha matango pori jamii ya watanzania, ila hii ni sumu kubwa ya ujinga tunayoipandikiza kwenye jamii/ watoto wetu
Screenshot_20190822-101453.jpeg
 
Siku za hivi karibuni, kumekuwa kunajitokeza vijana Watanzania, nje ya nchi, ambao hakuna wanachokifanya huko, zaidi ya kuichafua serikali yetu.

Mbaya zaidi, vijana hao, wanafanya kazi za kukusanya watu na vikundi ili waichafue serikali huku wakishirikiana na baadhi ya mataifa huko Ulaya kwa lengo la kuichafua serikali yetu.

Juzi alibainika kijana Goodluck Haule, ambaye anatumiwa na Mabalozi ya Uingereza, Marekani na Canada kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Baada ya utafiti wa kina, tumembaini huyu kijana aitwae Yussuf Bilal, ambaye anaishi Paris Ufaransa, huyu anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Yussuf Bilal ni nani ?

Alizaliwa mwaka 1986 Kinondoni, Dar es Salaam. Ni kabila la Mshirazi kutoka Unguja, visiwani Zanzibar. Baada ya kuhitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi Kambangwa iliyopo Kinondoni, inasemekana alikwenda nchini Ufaransa na kupata elimu ya sekondari hadi chuo. Aliporudi nchini mwaka 2010, aliendeleza masomo yake ya lugha ya Kifaransa hapo Upanga katika chuo cha ubalozi wa Ufaransa ambapo aliajiriwa mwaka 2013, na hapo ndipo ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa ulipoanzia.

Mwaka huo alijiunga na Chama Cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar. Kutokana na uwezo wake wa kuongea lugha nyingi za kimataifa kama vile Kiingereza, Kihispania na Kifaransa, alijiunga na watalii visiwani humo na kuanza kufanya nao kazi kama tour guide.

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, alianza kuonekana mitandaoni huku akiichafua serikali ya awamu ya tano na kupinga uhalali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, akiamini kuwa Ubalozi wa Ufaransa kama muajiri wake, utamlinda kwa uhaini huo. Lakini umoja wetu, umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi, vijana wenye mapenzi mema na taifa letu, tulianza kumfuatilia na kuchunguza kila anachokifanya.

Mwaka 2015 mwishoni, kupitia redio ya Kimataifa ya Ufaransa, alidiriki kuzichafua serikali zote mbili (ya muungano na ile ya mapinduzi ya Zanzibar).

Kutokana na ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa nchini, alipewa wadhifa kukiongoza chama cha walimu wa Kifaransa Tanzania mapema 2018.

Baada ya kumuonya mara kwa mara kutokana na kashfa alizokuwa akizitoa mitandaoni, kijana huyu Yussuf Bilal alitoroshwa na mabosi wake (Ubalozi wa Ufaransa) na kukimbilia nchini Ufaransa Agosti 2018. Kwa sasa anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli kupitia ukurasa wake wa Facebook ‘Chez Nous En Tanzanie’.

Anatumia ukurasa huo kwa kutangaza habari za Tanzania kwa lugha ya Kifaransa, lakini makala yake mengi anayochapisha humo, ni kashfa na matusi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Nchi yoyote duniani, watu kama hawa, hukumu yao ni kifo au kifungo cha maisha, tena katika jela ngumu ambapo watakuwa wakifanya kazi ngumu, usiku na mchana !.

Tutawatafuta popote, kwa gharama yoyote na mtaangamia !

Rais Magufuli ameshafanya miujiza ambayo hata Yesu hakuwafanyia wana wa Israeli. Nyie vibaraka endeleeni kutumika kuichafua nchi.

Na mnachokifanya huko Ulaya tayari tunakifahamu ! Mnatakiwa mshughulikiwe wahaini nyie !

Mungu mlinde JPM !
WATANZANIA TUMEKUWA TUNACHEZA SANA NA THEORY ZA KUONGOZA MIFUMO YA NCHI IKIWA NI PAMOJA NA KUONGOZA SEKTA MBALIMBALI NA KUJIPA MAISHA MAGUMU BILA SABABU ZA MASINGI JAMBO LA KUJIULIZA NINI MAANA YA SEKTA BINAFSI KATIKA UANDAAJI WA SERIKALI YA VIWANDA?

PRIVATE SECTOR NI MAAMUZI YA KUONGOZA TAASISI AU PRIVATE SECTOR NI FEDHA (MISHAHARA) ZA KUONGOZA TAASISI?

MFANO
TPDC
STAMICO
MRI
TANROAD

HAKIKA HAKUNA ANAYEINGILIA MAAMUZI YA STAMICO, TANROAD N.K IKIWA NI KULIPA FIDIA? KUELIMISHA JAMII>>>> N.K

KILA LA KHERI KATIKA MAPAMBANO YA MITAJI ISIYO FIKIWA KWA KIZINGIZIO CHA PRIVATE SECTOR...

KWA MUJIBU WA RAISI MWANAMKE LIBERIA UJAMAA ULIOELIMIKA NDIO UMESHINDA.... TUTAWAJIBU TU

HALMASHAURI YA KICHWA (AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKWAKO/MBAYUWAYU)
 
Siku za hivi karibuni, kumekuwa kunajitokeza vijana Watanzania, nje ya nchi, ambao hakuna wanachokifanya huko, zaidi ya kuichafua serikali yetu.

Mbaya zaidi, vijana hao, wanafanya kazi za kukusanya watu na vikundi ili waichafue serikali huku wakishirikiana na baadhi ya mataifa huko Ulaya kwa lengo la kuichafua serikali yetu.

Juzi alibainika kijana Goodluck Haule, ambaye anatumiwa na Mabalozi ya Uingereza, Marekani na Canada kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Baada ya utafiti wa kina, tumembaini huyu kijana aitwae Yussuf Bilal, ambaye anaishi Paris Ufaransa, huyu anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Yussuf Bilal ni nani ?

Alizaliwa mwaka 1986 Kinondoni, Dar es Salaam. Ni kabila la Mshirazi kutoka Unguja, visiwani Zanzibar. Baada ya kuhitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi Kambangwa iliyopo Kinondoni, inasemekana alikwenda nchini Ufaransa na kupata elimu ya sekondari hadi chuo. Aliporudi nchini mwaka 2010, aliendeleza masomo yake ya lugha ya Kifaransa hapo Upanga katika chuo cha ubalozi wa Ufaransa ambapo aliajiriwa mwaka 2013, na hapo ndipo ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa ulipoanzia.

Mwaka huo alijiunga na Chama Cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar. Kutokana na uwezo wake wa kuongea lugha nyingi za kimataifa kama vile Kiingereza, Kihispania na Kifaransa, alijiunga na watalii visiwani humo na kuanza kufanya nao kazi kama tour guide.

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, alianza kuonekana mitandaoni huku akiichafua serikali ya awamu ya tano na kupinga uhalali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, akiamini kuwa Ubalozi wa Ufaransa kama muajiri wake, utamlinda kwa uhaini huo. Lakini umoja wetu, umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi, vijana wenye mapenzi mema na taifa letu, tulianza kumfuatilia na kuchunguza kila anachokifanya.

Mwaka 2015 mwishoni, kupitia redio ya Kimataifa ya Ufaransa, alidiriki kuzichafua serikali zote mbili (ya muungano na ile ya mapinduzi ya Zanzibar).

Kutokana na ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa nchini, alipewa wadhifa kukiongoza chama cha walimu wa Kifaransa Tanzania mapema 2018.

Baada ya kumuonya mara kwa mara kutokana na kashfa alizokuwa akizitoa mitandaoni, kijana huyu Yussuf Bilal alitoroshwa na mabosi wake (Ubalozi wa Ufaransa) na kukimbilia nchini Ufaransa Agosti 2018. Kwa sasa anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli kupitia ukurasa wake wa Facebook ‘Chez Nous En Tanzanie’.

Anatumia ukurasa huo kwa kutangaza habari za Tanzania kwa lugha ya Kifaransa, lakini makala yake mengi anayochapisha humo, ni kashfa na matusi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Nchi yoyote duniani, watu kama hawa, hukumu yao ni kifo au kifungo cha maisha, tena katika jela ngumu ambapo watakuwa wakifanya kazi ngumu, usiku na mchana !.

Tutawatafuta popote, kwa gharama yoyote na mtaangamia !

Rais Magufuli ameshafanya miujiza ambayo hata Yesu hakuwafanyia wana wa Israeli. Nyie vibaraka endeleeni kutumika kuichafua nchi.

Na mnachokifanya huko Ulaya tayari tunakifahamu ! Mnatakiwa mshughulikiwe wahaini nyie !

Mungu mlinde JPM !
Jukwaa limevamiwa musiba umekuja na huku, eti maajabu aliyoyafanya Jiwe hata yesu kristo hakufanya, Mungu anakuona atakulipa kwa kadri ya maneno na vitendo vyake.
 
Magu ana miaka 4 katika kipindi hiko sijaona ripoti ata moja ya appraisal iliyoiponda serikari katika hatua za maendeleo iliyozichukua kwa ujumla wake.

Sana saba kikubwa mabeberu walichoonyeshwa wasi wasi katika zama hizi ni hali ya demokrasia, freedom of speech, investment zisizokuwa na social impact na low return (na hapa wanalenga ndege).

Lakini kwa wanaozielewa siasa za mabeberu kwa nchi za Africa katika mipango yao ya kuja kufanya biashara kubwa ndani bara basi Magu is doing just what the doctor ordered kwa kufungua access ya maeneo ya ndani ili wayafikie kirahisi.

Pamoja na mapungufu ya awamu hii bado ripoti kadhaa zinasifia panapo stahili na isingekuwa issue za demokrasia na akili za kutaka kuona kila mtu anamsifia Magufuli angekuwa ndio ‘yardstick’ ya kipimo cha uongozi wanaotaka kuona Africa.

Tatizo la Magu linalofanya wapishane na West chanzo chake ni insecurity zake na ujinga wa fikra za wapambe wake kwa hoja kama hizi; lakini kwa kazi zake tu zingine hiko ndio kitu West wanataka kuona viongozi wa Africa wanafanya.
 
Yaani nchi Kubwa kama Ufaransa imtumie huyo Yusuph ? Kama naisema serikali,anaisema yeye kama yeye. Msisingizie Ufaransa. Huyo Yusuph ni mtu mzima na akili zake. Freedom of speech.

Yaani hawa jamaa wanavyohangaika na malaika wao mpaka inaboa kwa kweli, hebu ona jinga jingine kama hili!!!!
 
Siku za hivi karibuni, kumekuwa kunajitokeza vijana Watanzania, nje ya nchi, ambao hakuna wanachokifanya huko, zaidi ya kuichafua serikali yetu.

Mbaya zaidi, vijana hao, wanafanya kazi za kukusanya watu na vikundi ili waichafue serikali huku wakishirikiana na baadhi ya mataifa huko Ulaya kwa lengo la kuichafua serikali yetu.

Juzi alibainika kijana Goodluck Haule, ambaye anatumiwa na Mabalozi ya Uingereza, Marekani na Canada kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Baada ya utafiti wa kina, tumembaini huyu kijana aitwae Yussuf Bilal, ambaye anaishi Paris Ufaransa, huyu anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Yussuf Bilal ni nani ?

Alizaliwa mwaka 1986 Kinondoni, Dar es Salaam. Ni kabila la Mshirazi kutoka Unguja, visiwani Zanzibar. Baada ya kuhitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi Kambangwa iliyopo Kinondoni, inasemekana alikwenda nchini Ufaransa na kupata elimu ya sekondari hadi chuo. Aliporudi nchini mwaka 2010, aliendeleza masomo yake ya lugha ya Kifaransa hapo Upanga katika chuo cha ubalozi wa Ufaransa ambapo aliajiriwa mwaka 2013, na hapo ndipo ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa ulipoanzia.

Mwaka huo alijiunga na Chama Cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar. Kutokana na uwezo wake wa kuongea lugha nyingi za kimataifa kama vile Kiingereza, Kihispania na Kifaransa, alijiunga na watalii visiwani humo na kuanza kufanya nao kazi kama tour guide.

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, alianza kuonekana mitandaoni huku akiichafua serikali ya awamu ya tano na kupinga uhalali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, akiamini kuwa Ubalozi wa Ufaransa kama muajiri wake, utamlinda kwa uhaini huo. Lakini umoja wetu, umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi, vijana wenye mapenzi mema na taifa letu, tulianza kumfuatilia na kuchunguza kila anachokifanya.

Mwaka 2015 mwishoni, kupitia redio ya Kimataifa ya Ufaransa, alidiriki kuzichafua serikali zote mbili (ya muungano na ile ya mapinduzi ya Zanzibar).

Kutokana na ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa nchini, alipewa wadhifa kukiongoza chama cha walimu wa Kifaransa Tanzania mapema 2018.

Baada ya kumuonya mara kwa mara kutokana na kashfa alizokuwa akizitoa mitandaoni, kijana huyu Yussuf Bilal alitoroshwa na mabosi wake (Ubalozi wa Ufaransa) na kukimbilia nchini Ufaransa Agosti 2018. Kwa sasa anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli kupitia ukurasa wake wa Facebook ‘Chez Nous En Tanzanie’.

Anatumia ukurasa huo kwa kutangaza habari za Tanzania kwa lugha ya Kifaransa, lakini makala yake mengi anayochapisha humo, ni kashfa na matusi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Nchi yoyote duniani, watu kama hawa, hukumu yao ni kifo au kifungo cha maisha, tena katika jela ngumu ambapo watakuwa wakifanya kazi ngumu, usiku na mchana !.

Tutawatafuta popote, kwa gharama yoyote na mtaangamia !

Rais Magufuli ameshafanya miujiza ambayo hata Yesu hakuwafanyia wana wa Israeli. Nyie vibaraka endeleeni kutumika kuichafua nchi.

Na mnachokifanya huko Ulaya tayari tunakifahamu ! Mnatakiwa mshughulikiwe wahaini nyie !

Mungu mlinde JPM !
Hivi nyie vijana wa CCM ,mmezidiwa Nguvu mpaka mnauleta umoja wenu jf, oneni aibu angalau hata kidogo basi.
IMG-20190822-WA0013.jpeg
 
Aliyekua wazir mkuu Sumaye alisha tolea ufafanuzi swala la uuzaji wa nyumba kipindi cha utawala wa Mkapa, Alisema maamuzi ya uuzwaji wa nyumba za serikali yalifanywa kwenye kikao cha baraza la mawazili, JPM alikua ni msimamizi wa utekelezaji wa maamuzi hayo na kama waziri JPM hakufanya maamuzi pekeyake mwisho wa kunukuu. Angalizo: Mtahangaika sana kumchafua JPM lakini haitowezekana kwakua alisha jiepusha na uchafu tangia awali.
Kivuko Cha mv Dar es salaam vipi
 
Ndio kwanza mumejiunga humu subiri kidogo kwa magwiji wa humu wasio nyumbu munavyowafukiria mutakaa sawa tu
 
Hebu tuelezeni ameichafuaje serikali? Kingine huyo jiwe ana serikali yake? Kingine ni miujiza gani huyo jiwe kafanya kumzidi Yesu? Ina maana unadiriki kumshusha Yesu kwa kipande cha elfu 7?
 
Bwana Yesu Kristo akusamehe kwa kumlinganisha yeye (Kristo) na MTU wenu huyo...

Siamini macho na masikio yangu, ama kwa kujua ama kutojua, kuwa, sasa mmefikia kiwango cha fikra na ufahamu wenu kupigwa upofu wa kiasi ambacho sasa mmefikia hatua ya kuwa na audacity ya kumweka Rais wenu juu ya YESU KRISTO....!!

This is terrible and it's evidently that you are all heading to the grave....!!

Kwa kweli, binafsi naomba nimwombe Baba wa mbingu na nchi kupitia Kristo Yesu awasamehe kwani ni wazi hamjui mtendalo...!!
 
Kajambe mbele mbona kama unasagwa?? Tulolee shombo hapa eti ufaransa wahangaike na wala mihogo wa
Siku za hivi karibuni, kumekuwa kunajitokeza vijana Watanzania, nje ya nchi, ambao hakuna wanachokifanya huko, zaidi ya kuichafua serikali yetu.

Mbaya zaidi, vijana hao, wanafanya kazi za kukusanya watu na vikundi ili waichafue serikali huku wakishirikiana na baadhi ya mataifa huko Ulaya kwa lengo la kuichafua serikali yetu.

Juzi alibainika kijana Goodluck Haule, ambaye anatumiwa na Mabalozi ya Uingereza, Marekani na Canada kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Baada ya utafiti wa kina, tumembaini huyu kijana aitwae Yussuf Bilal, ambaye anaishi Paris Ufaransa, huyu anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Yussuf Bilal ni nani ?

Alizaliwa mwaka 1986 Kinondoni, Dar es Salaam. Ni kabila la Mshirazi kutoka Unguja, visiwani Zanzibar. Baada ya kuhitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi Kambangwa iliyopo Kinondoni, inasemekana alikwenda nchini Ufaransa na kupata elimu ya sekondari hadi chuo. Aliporudi nchini mwaka 2010, aliendeleza masomo yake ya lugha ya Kifaransa hapo Upanga katika chuo cha ubalozi wa Ufaransa ambapo aliajiriwa mwaka 2013, na hapo ndipo ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa ulipoanzia.

Mwaka huo alijiunga na Chama Cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar. Kutokana na uwezo wake wa kuongea lugha nyingi za kimataifa kama vile Kiingereza, Kihispania na Kifaransa, alijiunga na watalii visiwani humo na kuanza kufanya nao kazi kama tour guide.

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, alianza kuonekana mitandaoni huku akiichafua serikali ya awamu ya tano na kupinga uhalali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, akiamini kuwa Ubalozi wa Ufaransa kama muajiri wake, utamlinda kwa uhaini huo. Lakini umoja wetu, umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi, vijana wenye mapenzi mema na taifa letu, tulianza kumfuatilia na kuchunguza kila anachokifanya.

Mwaka 2015 mwishoni, kupitia redio ya Kimataifa ya Ufaransa, alidiriki kuzichafua serikali zote mbili (ya muungano na ile ya mapinduzi ya Zanzibar).

Kutokana na ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa nchini, alipewa wadhifa kukiongoza chama cha walimu wa Kifaransa Tanzania mapema 2018.

Baada ya kumuonya mara kwa mara kutokana na kashfa alizokuwa akizitoa mitandaoni, kijana huyu Yussuf Bilal alitoroshwa na mabosi wake (Ubalozi wa Ufaransa) na kukimbilia nchini Ufaransa Agosti 2018. Kwa sasa anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli kupitia ukurasa wake wa Facebook ‘Chez Nous En Tanzanie’.

Anatumia ukurasa huo kwa kutangaza habari za Tanzania kwa lugha ya Kifaransa, lakini makala yake mengi anayochapisha humo, ni kashfa na matusi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Nchi yoyote duniani, watu kama hawa, hukumu yao ni kifo au kifungo cha maisha, tena katika jela ngumu ambapo watakuwa wakifanya kazi ngumu, usiku na mchana !.

Tutawatafuta popote, kwa gharama yoyote na mtaangamia !

Rais Magufuli ameshafanya miujiza ambayo hata Yesu hakuwafanyia wana wa Israeli. Nyie vibaraka endeleeni kutumika kuichafua nchi.

Na mnachokifanya huko Ulaya tayari tunakifahamu ! Mnatakiwa mshughulikiwe wahaini nyie !

Mungu mlinde JPM !
WA tandale shwain!!!!!
 
Huna jipya bora kukaa kimya katulie choon
Magu ana miaka 4 katika kipindi hiko sijaona ripoti ata moja ya appraisal iliyoiponda serikari katika hatua za maendeleo iliyozichukua kwa ujumla wake.

Sana saba kikubwa mabeberu walichoonyeshwa wasi wasi katika zama hizi ni hali ya demokrasia, freedom of speech, investment zisizokuwa na social impact na low return (na hapa wanalenga ndege).

Lakini kwa wanaozielewa siasa za mabeberu kwa nchi za Africa katika mipango yao ya kuja kufanya biashara kubwa ndani bara basi Magu is doing just what the doctor ordered kwa kufungua access ya maeneo ya ndani ili wayafikie kirahisi.

Pamoja na mapungufu ya awamu hii bado ripoti kadhaa zinasifia panapo stahili na isingekuwa issue za demokrasia na akili za kutaka kuona kila mtu anamsifia Magufuli angekuwa ndio ‘yardstick’ ya kipimo cha uongozi wanaotaka kuona Africa.

Tatizo la Magu linalofanya wapishane na West chanzo chake ni insecurity zake na ujinga wa fikra za wapambe wake kwa hoja kama hizi; lakini kwa kazi zake tu zingine hiko ndio kitu West wanataka kuona viongozi wa Africa wanafanya.
 
Mtu akishatumia neno "vibaraka" huwa namuona ana ubongo duni sana!
 
Siku za hivi karibuni, kumekuwa kunajitokeza vijana Watanzania, nje ya nchi, ambao hakuna wanachokifanya huko, zaidi ya kuichafua serikali yetu.

Mbaya zaidi, vijana hao, wanafanya kazi za kukusanya watu na vikundi ili waichafue serikali huku wakishirikiana na baadhi ya mataifa huko Ulaya kwa lengo la kuichafua serikali yetu.

Juzi alibainika kijana Goodluck Haule, ambaye anatumiwa na Mabalozi ya Uingereza, Marekani na Canada kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Baada ya utafiti wa kina, tumembaini huyu kijana aitwae Yussuf Bilal, ambaye anaishi Paris Ufaransa, huyu anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Yussuf Bilal ni nani ?

Alizaliwa mwaka 1986 Kinondoni, Dar es Salaam. Ni kabila la Mshirazi kutoka Unguja, visiwani Zanzibar. Baada ya kuhitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi Kambangwa iliyopo Kinondoni, inasemekana alikwenda nchini Ufaransa na kupata elimu ya sekondari hadi chuo. Aliporudi nchini mwaka 2010, aliendeleza masomo yake ya lugha ya Kifaransa hapo Upanga katika chuo cha ubalozi wa Ufaransa ambapo aliajiriwa mwaka 2013, na hapo ndipo ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa ulipoanzia.

Mwaka huo alijiunga na Chama Cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar. Kutokana na uwezo wake wa kuongea lugha nyingi za kimataifa kama vile Kiingereza, Kihispania na Kifaransa, alijiunga na watalii visiwani humo na kuanza kufanya nao kazi kama tour guide.

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, alianza kuonekana mitandaoni huku akiichafua serikali ya awamu ya tano na kupinga uhalali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, akiamini kuwa Ubalozi wa Ufaransa kama muajiri wake, utamlinda kwa uhaini huo. Lakini umoja wetu, umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi, vijana wenye mapenzi mema na taifa letu, tulianza kumfuatilia na kuchunguza kila anachokifanya.

Mwaka 2015 mwishoni, kupitia redio ya Kimataifa ya Ufaransa, alidiriki kuzichafua serikali zote mbili (ya muungano na ile ya mapinduzi ya Zanzibar).

Kutokana na ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa nchini, alipewa wadhifa kukiongoza chama cha walimu wa Kifaransa Tanzania mapema 2018.

Baada ya kumuonya mara kwa mara kutokana na kashfa alizokuwa akizitoa mitandaoni, kijana huyu Yussuf Bilal alitoroshwa na mabosi wake (Ubalozi wa Ufaransa) na kukimbilia nchini Ufaransa Agosti 2018. Kwa sasa anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli kupitia ukurasa wake wa Facebook ‘Chez Nous En Tanzanie’.

Anatumia ukurasa huo kwa kutangaza habari za Tanzania kwa lugha ya Kifaransa, lakini makala yake mengi anayochapisha humo, ni kashfa na matusi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Nchi yoyote duniani, watu kama hawa, hukumu yao ni kifo au kifungo cha maisha, tena katika jela ngumu ambapo watakuwa wakifanya kazi ngumu, usiku na mchana !.

Tutawatafuta popote, kwa gharama yoyote na mtaangamia !

Rais Magufuli ameshafanya miujiza ambayo hata Yesu hakuwafanyia wana wa Israeli. Nyie vibaraka endeleeni kutumika kuichafua nchi.

Na mnachokifanya huko Ulaya tayari tunakifahamu ! Mnatakiwa mshughulikiwe wahaini nyie !

Mungu mlinde JPM !
Oliver Thambo aliishi wapi baada ya kukimbia SA, wana ANC waliishi wapi kama akina Mirium Makeba, Hugh Maseselo na wengine wengi. Shah wa Iran aliishi wapi kama siyo France mpaka alipoenda kumpindua Shah wa Iran? Mwalimu alipotaka kupinduliwa 1964 nani walimsitiri?

Tofautisha uhaini na maisha ya mtu. Haki ya kuishi mtu inaheshimiwa na nchi chache ndo maana watu wengi ambao wamekuwa na wasiwasi wa maisha yao wamekimbilia nchi za magharibi. Mtu akikimbilia Tanzania kama yule rubani wa Kenya enzi za Nyerere, alirudishwa na kilichofuata utajaza mwenyewe. Kambona angerudishwa nchini angekuwa chakula cha mamba labda ingawa mchonga asingefanya hivyo ila cha moto angekipata.

Tulihifadhi wangapi hapa Tanzania ambao walikuwa kwenye hukumu za vifo? Je, hao hawakuwa wasaliti wa nchi zao? Siasa na utu vitofautishwe.
 
[QU
OTE="Umoja wa Vijana CCM, post: 32570912, member: 564018"]
Siku za hivi karibuni, kumekuwa kunajitokeza vijana Watanzania, nje ya nchi, ambao hakuna wanachokifanya huko, zaidi ya kuichafua serikali yetu.

Mbaya zaidi, vijana hao, wanafanya kazi za kukusanya watu na vikundi ili waichafue serikali huku wakishirikiana na baadhi ya mataifa huko Ulaya kwa lengo la kuichafua serikali yetu.

Juzi alibainika kijana Goodluck Haule, ambaye anatumiwa na Mabalozi ya Uingereza, Marekani na Canada kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Baada ya utafiti wa kina, tumembaini huyu kijana aitwae Yussuf Bilal, ambaye anaishi Paris Ufaransa, huyu anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli.

Yussuf Bilal ni nani ?

Alizaliwa mwaka 1986 Kinondoni, Dar es Salaam. Ni kabila la Mshirazi kutoka Unguja, visiwani Zanzibar. Baada ya kuhitimu elimu ya msingi katika shule ya msingi Kambangwa iliyopo Kinondoni, inasemekana alikwenda nchini Ufaransa na kupata elimu ya sekondari hadi chuo. Aliporudi nchini mwaka 2010, aliendeleza masomo yake ya lugha ya Kifaransa hapo Upanga katika chuo cha ubalozi wa Ufaransa ambapo aliajiriwa mwaka 2013, na hapo ndipo ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa ulipoanzia.

Mwaka huo alijiunga na Chama Cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar. Kutokana na uwezo wake wa kuongea lugha nyingi za kimataifa kama vile Kiingereza, Kihispania na Kifaransa, alijiunga na watalii visiwani humo na kuanza kufanya nao kazi kama tour guide.

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, alianza kuonekana mitandaoni huku akiichafua serikali ya awamu ya tano na kupinga uhalali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, akiamini kuwa Ubalozi wa Ufaransa kama muajiri wake, utamlinda kwa uhaini huo. Lakini umoja wetu, umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi, vijana wenye mapenzi mema na taifa letu, tulianza kumfuatilia na kuchunguza kila anachokifanya.

Mwaka 2015 mwishoni, kupitia redio ya Kimataifa ya Ufaransa, alidiriki kuzichafua serikali zote mbili (ya muungano na ile ya mapinduzi ya Zanzibar).

Kutokana na ukaribu wake na Ubalozi wa Ufaransa nchini, alipewa wadhifa kukiongoza chama cha walimu wa Kifaransa Tanzania mapema 2018.

Baada ya kumuonya mara kwa mara kutokana na kashfa alizokuwa akizitoa mitandaoni, kijana huyu Yussuf Bilal alitoroshwa na mabosi wake (Ubalozi wa Ufaransa) na kukimbilia nchini Ufaransa Agosti 2018. Kwa sasa anatumiwa na serikali ya Ufaransa kuichafua serikali ya Rais Magufuli kupitia ukurasa wake wa Facebook ‘Chez Nous En Tanzanie’.

Anatumia ukurasa huo kwa kutangaza habari za Tanzania kwa lugha ya Kifaransa, lakini makala yake mengi anayochapisha humo, ni kashfa na matusi dhidi ya serikali ya awamu ya tano.

Nchi yoyote duniani, watu kama hawa, hukumu yao ni kifo au kifungo cha maisha, tena katika jela ngumu ambapo watakuwa wakifanya kazi ngumu, usiku na mchana !.

Tutawatafuta popote, kwa gharama yoyote na mtaangamia !

Rais Magufuli ameshafanya miujiza ambayo hata Yesu hakuwafanyia wana wa Israeli. Nyie vibaraka endeleeni kutumika kuichafua nchi.

Na mnachokifanya huko Ulaya tayari tunakifahamu ! Mnatakiwa mshughulikiwe wahaini nyie !

Mungu mlinde JPM !
[/QUOTE]

Kumfananisha YESU ña JPM hapo umepotoka. Kwa Wakristo ' YESU ' hakuna wa kufanana naye. Usamehewe hulijui ulilolisema.
 
Hebu acha kumlinganisha yesu kristu na mtu wenu huyo, mbona hujamlinganisha na mtume Muhammad wenyewe waje wakutwange vibao kama mzee mwinyi.
 
Back
Top Bottom