itakuwa afadhali hii ikitokea kwa Tanzania.
Hopeful Zanzibar na yenyewe itasogea nasi. 😀
kile MAFISIEM kinaachwa mkuu usjali,..Mkuu bora tusepe tu, ila sa sijajua kama tutondoka na kile chama ama tutakiacha huku!
mkuuuuuuuuuuuuuKabisa..bara linakuwa kama sura ya mtu anae shangaa..haah !
Mradi wa JK bagamoyo ndio basi tena.Sio DRC tu..Hata Rwanda,Burundi,Uganda, Malawi,Zimbabwe na Swaziland watakuwa na bandari.
we kweli ni great thinker mku,..Nafikiri inaanza kuisha..taratibu
bonge la ideaNi bora tumeguke tuunde bara letu tutapata nafasi ya kushiriki KUMBE LA DUNIA na baadhi ya michenzo mingine inayotoa wawakilishi wa mabara.
Litakuwa jambo la faraja kiasi kwamba linaweza kumfufua mchongaSasa Zanzibar c itapigwa push izame kabisa
Utaacha wasifanye kazi mwezi mzimaItakua nafuu kwa nchi za congo zambia zimbabwe malawi kupata bahari
Ndoto za Hayati mwalimu zitatimia maana alikua akitamani hata kuvitupilia mbali huko hiv visiwa.Litakuwa jambo la faraja kiasi kwamba linaweza kumfufua mchonga
bowlibo kila kitu lazima kiwe na kinyume la sivyo maisha yatakuwa hayana maana wala hizi rank za kibinadamu....ili werevu wajulikane uwepo wao lazima wawepo wajinga n vice versaasavali limeguke haraka tu maana tumechanganyikana na wajinga wengi
..hata mgogoro wa kugawana ziwa Nyasa na nchi ya Malawi utakuwa umepatiwa ufumbuzi. Kila nchi itabaki na nusu yake.Na halitakuwa ziwa tena..ila itakuwa sehemu ya bahari ya Red Sea... au Arabian Sea.Itakua nafuu kwa nchi za congo zambia zimbabwe malawi kupata bahari
hahaaaa hii nimeipenda, haina haja ya uchaguzi maana mwisho wao umeshafikaHaaaaahaaa... nimecheka sana, kuhama na CCM kwenda new AFROASIA CONTINENT ni sawa na kuhama na gunia la siafu. Haina haja ya uchaguzi tena Zanzibar, maana mwisho wake umefika.