Sasa biashara ya kupeleka makontena huko itakuaje?Itakua nafuu kwa nchi za congo zambia zimbabwe malawi kupata bahari
Nchi nyingi mno watakuwa na bandari.D
Kwa hiyo DRC congo watakua na bandari!?.........kweli Mungu si Juma wala Masanja!!!
Hahaha, unaweza kukuta visiwa vikajiunga Bagamoyo.Ndoto za Hayati mwalimu zitatimia maana alikua akitamani hata kuvitupilia mbali huko hiv visiwa.
Mkuu unaamini kuna maisha baada ya hapa? Sayari nyingneHahaha, unaweza kujuta visiwa vikajiunga Bagamoyo.
Wakati huo wote tutajuwa tyshakufa au kuhamia sayari nyingine miaka milioni nyingi kabla.
Hizi habari zinaweza kuchujua miaka milioni hamsini, kwa hiyo usifikiri ni habari za miaka hamsini au mia.
Kama watu walivyovuka kutoka Ulaya kuja Marekani, watu watavuka kutoka duniani kwenda kutafuta maisha sayari nyingine.Mkuu unaamini kuna maisha baada ya hapa? Sayari nyingne
Hakuna aliyekwenda akarudi kutupa uhakikaKama watu walivyovuka kutoka Ulaya kuja Marekani, watu watavuka kutoka duniani kwenda kutafuta maisha sayari nyingine.
Tatizo kubwa lisiloweza kutatuliwa ni lipi?
Hata huko Ulaya kabla ya Columbus kuvuka bahari hakuna aliyerudi kuwapa uhakika, hilo halina maana baadaye watu walishindwa kuhamia Marekani.Hakuna aliyekwenda akarudi kutupa uhakika
Mmmh lets wait mkuu it take million of yrs lkn duniani kuna vitu vingi sana ambavyo hatuvijua i knw tht.Hata huko Ulaya kabla ya Columbus kuvuka bahari hakuna aliyerudi kuwapa uhakika, hilo halina maana baadaye watu walishindwa kuhamia Marekani.
Kinachotafutwa si uhakika, kinachotafutwa ni uwezekano.
Kwa sasa sayari zote za solar system, mpaka Zebaki, zina maji.
Binadamu wanafijia uwezo wa kusafiri sayari mpaka sayari katika mfumo wetu wa jua. Wameanza kugundua sayari zinazo zunguka nyota nyingine, na wakiweza kusafiri sayari yenye hali kama ya dunia yetu, kwa nini wasiweze kuanzisha maisha upya huko?
HatariNatamani itokee hata mwaka kesho maana hili bara ni giza tupu, watu na chama lao wanapigwa chini maana kule tutakuwa chini ya Al shabaab.
Kilichotokea Afar ndicho kinachowatisha wengi..kwasababu ardhi ilididimia ndani ya siku chache .Kwa hiyo kupasuka kunaweza kuchukua miaka milioni 50..au hata ndani ya siku chache. Ni miujiza isiyotabirika.Maombi yanahitajika sana kwa hili jambo.