Wakuu Heri ya Pasaka
Nipo mjini musoma hapa ,daaah inasikitisha Sana ,tofauti na sikukuu za miaka ya nyuma
Tulizoea ukienda Bar unakuta watu kibao meza zimechafuka bia
But Kwa pasaka hii ya Leo kweli utaamini Magu kabana
Nimepita baa kadhaa nyingi hazina wateja kabisa wala shamrashamra
Nipo Matvilla hapa watu wanakunywa Tu juice za jero jero
Mimi ndo nimedaka mzinga wa K-Vant watu wanautolea macho
Je hii ni kuashiria watu wameokoka pasaka hii au ndo Magu kabana zaidi mifukoni
Hali ikoje huko kwenu!!???
Duu mkuu una roho ngumu watu wanakutolea macho Umekauka! Hata mimi nipo nyumban nachek series kikubwa maisha yaende!Wakuu Heri ya Pasaka
Nipo mjini musoma hapa ,daaah inasikitisha Sana ,tofauti na sikukuu za miaka ya nyuma
Tulizoea ukienda Bar unakuta watu kibao meza zimechafuka bia
But Kwa pasaka hii ya Leo kweli utaamini Magu kabana
Nimepita baa kadhaa nyingi hazina wateja kabisa wala shamrashamra
Nipo Matvilla hapa watu wanakunywa Tu juice za jero jero
Mimi ndo nimedaka mzinga wa K-Vant watu wanautolea macho
Je hii ni kuashiria watu wameokoka pasaka hii au ndo Magu kabana zaidi mifukoni
Hali ikoje huko kwenu!!???
Mkuu nipo Mara-Musoma Kwa Baba wa Taifa hukuajaribu kutembelea the great park, forty forty, kwetu pazuri, nderingo peace of mind na kazalika ndo atajua kama kuna ukata au vipi?
Mkuu wewe upo wap mm nipo hapa the great tunazungusha tuu...
Huko hapakuwa na wapiga dili.Tabata na kimara zote zipo full
Hao wauza ngada nn mkuu?
Tupiamo tupichaWakuu Heri ya Pasaka
Nipo mjini musoma hapa ,daaah inasikitisha Sana ,tofauti na sikukuu za miaka ya nyuma
Tulizoea ukienda Bar unakuta watu kibao meza zimechafuka bia
But Kwa pasaka hii ya Leo kweli utaamini Magu kabana
Nimepita baa kadhaa nyingi hazina wateja kabisa wala shamrashamra
Nipo Matvilla hapa watu wanakunywa Tu juice za jero jero
Mimi ndo nimedaka mzinga wa K-Vant watu wanautolea macho
Je hii ni kuashiria watu wameokoka pasaka hii au ndo Magu kabana zaidi mifukoni
Hali ikoje huko kwenu!!???
Hao wauza ngada nn mkuu?Njoo Tabata halafu urudie hiyo kauli yako
Kiukweli Tabata iko vizuri sana,nadhani ukiondoa umaarufu wa zamani kule Sinza,mpambano ni mkali sana kati ya Tabata na Sinza.Tabata huku kuko full,watu hawajali huo ukata.Njoo Tabata halafu urudie hiyo kauli yako
Sijachelewa kutoka mkuu. Nilipita hapa Makirikiri(Kinyerez) wakati natoka mjini,huku kila eneo bar za Tabata zikiwa nyomi.ajaribu kutembelea the great park, forty forty, kwetu pazuri, nderingo peace of mind na kazalika ndo atajua kama kuna ukata au vipi?
Mkuu wewe upo wap mm nipo hapa the great tunazungusha tuu...
Balimi hakuna huko?Watu wamemrudia Mungu
ZipoBalimi hakuna huko?