Bao moja hoi

Bao moja hoi

AHSANTE KAKA ILA MAGOLI MENGI NDIO UBINGWA KTK GAME LOLOTE LIKE BASKET BALL KUNA POINT TATU.
ILA TU HESHIMA NDIYO MUHIMU WAJAMEN NA WAJAWOMEN ILA KAKA LQABDA UNA DEMU FULANI UNA MFUKUZIA NA AKAHITAJI MJIHELA MINGI HIVI UTAPIGA KIMOKO IWE BASI KAKA ITAKULA KWAKO MIE HAPO UNCOUNTABLE
WANASEMA :GET AS HOW YOU PAY
cONQUEST:USHINDI MAGOLI
 
Aja hizo wewe ujakuwa nini mastabesheni ni warm up ya gemu kama vipi huoni wachezaji hata wakitaka kuingia gemuni wanapasha ahaaa masalino inakuwaje kaka we acha tuu mie nikiwa na gemu na demu aliekuwa analeta mapozi mpauko lazima nianze kihivooo then hapo shughuli inakuwa big
kaka jitahidi au ulikuwa unatumia kuvu kama wasukuma sor wajamen maana nguvu kila sehemu hata kumega ugali
i like jf all be blessed
 
HAPO SAWA KAKA NI MATENDO KWANZA HOJA BAADAE KAMA MAENGIEERS NOT POLITICIANS
hau jamaa mlokole lakini cha ajabu nao wamezaliwa na wanazliana hakuna cha udini wala nini katika hili ni moja kwa moja
Conquest-maneno mengi umasikini
 
marhaba kaka hapo kweli ila unajua washikaji nao wanaboa hata mie nimetembea kilometa nyingi ila hapa nilipo sitoki kwani ni tofauti na zingine nasema ngoma tamu ile mbaya na feel sana cha muhimu ni kustick pamoja kama kunamapungufu munayamaliza au kurekebisha wenyewe,kwa mfano jamaa zangu wachaga wao kukata viuno ni tatizo kwao ila unakuta mashine ipo mbomba sasa unafanyaje basi unampa somo then anaelewa kwani pilau ilianza na kachumbali basii ila ni watu tu kutafuta cha juu kuongezea ladha,
i like jf
Conquest-nipo nimahaba zaidi hata mlima unavunjwa
 
Tumia red bull kaka,utafunga bao nyingi na kwa muda mrefu sana.Si mchezo kinywaji hiki mie nikitumia kama nina gemu ni goli 4 na kuendelea-- nimewahi kupiga mpaka 6 sio mchezo.
 
hapo mutakuwa munakosea moja kwani anaumwa kisukari au bp kaka jitahidi yaani hivi:moja before kulala then mid9t moja and ile jogoo ajawika moja hapo itakuwa raha kimoko asubuhi utaamka na uchovucha muhimu ni mazoezi kama ni wagari sana jitahidi kuliacha siku mojamoja na msosi waukweli natural food sio sosag na chips,uji wa ulezi au karanga na supu supu za uswazi nazo zinamchango wake.au unakitambi kaka.
Conquest:kimoko haridhiki mtu.
 
poa roselyne inakuwaje wangu ,naoja jamaa yangu anatafuta suluhu ya kimoko chake haya mwache azembee game magoli
 
mkubwa unataka apigane na huyo dk je akiambiwa ngoma ndio safari ya ukingoni weye utakubali acha hizo checkup zingine lawama ajaribu kula misosi ya kuongeza speed then atry vinginevo imekula kwake aihitaji checkup
Conquest-mto aupimwi kwa mguu
 
Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku). Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba. Nahiataji msaada wenu jameni


Suala hapa si bao,la msingi ni bao la namna gani unalopiga golini.Penalt,offside,shuti,au la mpira uliokufa.Teh!teh!
 
Mwenzenu nahitaji ushauri. Kwa muda muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la wakati wa tendo la ndoa, baada ya kupiga bao moja huwa nakuwa hoi kabisa. Kama nikitaka la pili lazima niuze timu (niende pekupeku). Nifanyeje ili niweze kuwa na nguvu za kuenda hata mabao matatu ndani ya kiroba. Nahiataji msaada wenu jameni

Pole sana. Usipate shida tatizo hili linawakuta wanaume wengi na sio wewe tu. Tunawasaidia wengi kupitia tiba mbadala, nitafute kupitia e-mail byongje@gmail.com. Nitakushauri kiumakini na tatizo lako litaisha.
 
jiulize mpenzio anaridhika na hilo moja? unaweza piga hata 10 usimridhishe. sex for leisure sio kombe la dunia hilo.

ukisikiliza mambo ya mitaani eti washikaji hutaka ufanye jambo wengine wana miaka haijasimama but wanajisifu tu.
 
si kweli kaka, hizo story za kijiweni mara nyingi ni uongo na kujisifia, tena huwa ni za teenagers, in reality huwa si kweli. inategemea hilo bao moja unaenda dakika ngapi, kama ni two minute over, then thats another problem, lakini kama umetumia 20 minutes to 30 bado una uwezo wa kupiga mengine matatu? tuwe wakweli, hao wanaodhani kupiga mabao mengi ndo great sex, they are very wrong, and i dare to say they dont know how to make love. sorry people.
Bao la kwanza huwa linawahi,kwahiyo jamaa aangalie namna ya kurudia la pili for better sex.
 
Kwa matatizo haya ya pre ejaculation, low libido, low level of testosterone, infertility, stamina na kwa wanawake wenye PMS (pre menstrual syndrome ikiwemo maumivu ya tumbo, chuchu wakati wa hedhi), PID nimekuwa nikiwasaidia hata wengine wamekua wakitoa ushuhuda humu jamvini
Waweza ni PM nika kusaidia kwa dawa au ushauri ni ufanye juu ya haya na mengineyo kama matatizo ya vidonda vya tumbo, kisukari type 2, UTI sugu, presha, figo kwa hatu za mwanzo n.k
 
Nimeangalia Joined Period ya mtoa mada, nikalinganisha na yangu na umri wangu! Kama kinachonijia akilini ni sawa tafadhari sana usiwasikilize sana hao vijana unaokaa nao na kuwaita "washkaji", sisi afya yetu si sawa na ya kwao!!
 
Tatizo hili ni pre ejaculation, linatibika kwa mitishamba na diet. Then kuzingatia ulaji wa baadhi ya vyakula humpa mtu stamina ya muda mrefu wa tendo. Kusema bao moja linatosha tena lile la mapema sio kweli. Najua kua upo uwezekano wa kustahimili kubana zaidi ya nusu saa hadi lisaa ndio hu-ejaculate unawezekana ila unahitaji afya njema, ustaimilivu wakihisia na ujuzi ili kuweza kumsaidia mtu aweze kuperform kwa kiwango cha juu. Kwa mchanganyiko wa mimea tiba mbalimbali inayopatikana nchini na niliyo import toka nje na kuiotesha hapa nchini ikiwemo ashwagandha imekuwa ni solution kwa wagonjwa wengi wa tatizo hili MENDOSE. Hivyo kwa anayeitaji dawa hii anaweza nitafuta kwa namba hizi 0711553826.
 
Back
Top Bottom