Bao la Usabuhi ni “Matusi?”

Hawa watangazaji uchwara wa siku hizi hajitambui wala hawa aibu ni hovyo sana.
 
Well and good. TCRA wapo tu, hili neno halina ladhan kwenye sikio wala kutamka. Wajukuu zangu wamefunga shule, mmoja akaniuliza "bibi bao la asubuhi " ni nini, nikampotezea kama sijasikia, nikajuta kufungua hiyo stesheni!
TCRB au wala rushwa tu wamejazana pale??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…