Bao la kisigino

We nawe ni Mbulula tu,Fisadi wako kaenda kujipendekeza kwa wakubwa wake samaki ana nguvu akiwa majini lakini ukimtoa hana ujanja,nguvu ya Lowasa ilikua ndani ya CCM kwa sasa yupo kwenye foleni tu ya akina Mrema
rudi kwene topic man, acha kupuyanga
 
Kumbe ni wivu unaokusukuma kuandika hayo dhidi yake?,Andika wewe kama unadhani ni rahisi...mbona unaishia Ku comment tu!?
Namshauri tu sehemu anayofaa zaidi au ushauri hamtaki maana h watu wengi hawapendi kushauriwa lakini ukiwakuta walivyo bize kulaumu utadhani wao wapo tayari kushauriwa...unaona sasa wewe umeshachukulia mimi nina wivu
 
Tena inaripotiwa hivi: "Lowassa uso kwa uso na Magufuli" na wala siyo "Magufuli uso kwa uso na Lowassa"...yaani kifupi Lowassa ndo habari ya mujini...wampe tu chenji yake aisee vinginevyo watatawala kwa mauzauza!
Aisee wewe una uelewa mdogo yaani wakiandika Lowasa uso kwa uso na Magufuli nani Boss hapo? Duuu akili kuamia tumboni kazi sana
 
Wewe una akili za kusahau au unajisahaulisha makusudi kwa sababu akili imeamia tumboni hayo matukio yote yalikuwa habari kubwa tatizo ni tumbo lako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…