Bank ya Posta mna nini, mbona hamuiti watu kwenye interview?

Bank ya Posta mna nini, mbona hamuiti watu kwenye interview?

sio lazima uitwe pima na ufaulu wako pia kikubwa uskate tamaa endelea kuomba muda wako ukipangwa umepangwa na mungu hakuna atakae zuia
 
ufaulu wangu kivipi? form four nina II FORM six nina Div I na chuo udsm GPA ni 3.7 sasa ufaulu upi? au ndo kusema mnataka watu waliopata div I point 7 au form six waliopata div I point 3..... ni ufaulu upi hasa unao usema wewe? basi kwenye matangazo yenu mngeweka kuwa mnataka watu wenye GPA za nne na kuendelea
 
nimeomba kazi si chini ya mara 40, sjawai itwa, rafiki yangu hap juu anasema ukweli nadhan i kwa issue ya ajira postal benki nasikia mpaka uwe na mtu pale, vinginevyo inakula kwako, mi nilijaribu kujisogeza kwa mtu ila anazingua mbaya. kumbe mpakmuwe na historia nae.
 
Bank yenyewe hii ishajifia zake,kwa nin mnataka kuwa sehemu ya lawama ya kufa kwa hii bank vijana?
 
nimeomba kazi si chini ya mara 40, sjawai itwa, rafiki yangu hap juu anasema ukweli nadhan i kwa issue ya ajira postal benki nasikia mpaka uwe na mtu pale, vinginevyo inakula kwako, mi nilijaribu kujisogeza kwa mtu ila anazingua mbaya. kumbe mpakmuwe na historia nae.
nilidhani nipo peke yangu mkuu kumbe tupo wengi namna hii...
 
Duh ndugu kwa GPA hiyo, Mbona benk moja kubwa ya kijani mjini inapitaga vyuon ku recruit kuanzia 3.5 wew walikuachaje au ni field tofauti na mambo ya benki mpka sielewi walikuachaje na 3.7, saa hiv unahangaika na postal bank
nimeapply sana huko kwenye kijani nimeenda hadi makao makuu kupeleka CV ila still nao hajaniita...now nipo kwenye bank Fulani hivi ila maslahi ni madogo sana, nataka kuhama...nilisoma BCOM pale udbs
 
habari za mchana wadau,

leo majira ya saa tatu nikiwa mtaa wa nanenane, karibu na veta, nikidubiri kufanya usaili pale Mobisoli limited, katika mijadra ya hapa na pale, huwezi amini benki ya posta imelalamikiwa na watu si chini ya 30, waliokuwepo wote kwa kuomba kazi na kuroitwa kwenye usaili.
na wote walio kuwepo pale kwa haraka haraka, wanavigezo na elimu za kutosha sawa au pengine kuwazidi waliopo kwenye benk hiyo

mimi ninauliza kwa nini benki hii tu? hvi manager mwajiri hasomagi maoni ya watu? basi mkurugenzi wao, vipi nae hasomagi? je hakuna staff, anasomaga maoni ya wanajf au wapo sema wte wametokana na mfumo huo huo wa kushikana kidore gumba?

kama mpo ebu shaurini utawala.
 
Kama kuna boss ambaye jipu lake limeiva bas huyu Boss wa POSTA BANK ni jipu ambalo kwa kweli hata ukipuliza tu linatumbuka.... Yaani ni shida tu... Bank inakufa kabisa wakati microfinance kibao znapata wateja tena kwa riba kubwa
 
Back
Top Bottom