Bank ya CRDB inachosha, Usiamini huduma yao

Bank ya CRDB inachosha, Usiamini huduma yao

NMB ni kama Saccos tuu watu na foleni,foleni na wao hapana kwa hao CRDB wapo vizuri sana
 
Itokee una mgonjwa mahututi anahitaji dawa, pesa iko katika kadi ya ATM na ATM inakuambia " service unavailable. Please try later.
Mkuu hizi system sio za kuzitegemea kwa 100%. Lazima uwe na cash kidogo kama back up. Kuna siku nilinusurika kuumbuka kama vile sina pesa.
 
NMB wako poa ila naboreka na foleni zao tu. Unapanga foleni km unapiga kura.
Hicho ndicho kinachoniboa
 
Back
Top Bottom