Bank ya CRDB inachosha, Usiamini huduma yao

Wapendwa wanajamii,

Mimi nimekuwa ni mteja wa CRDB Bank kwa miaka si chini ya 12. Mwanzoni nilijivunia kuwa mteja wa CRDB kwa jinsi walivyokuwa wakiboresha huduma kila mara. Lakini kwa sasa CRDB ni benki ya hovyo kuliko mfano. Usijaribu kuamini kuwa ATM zao zina fedha muda wote utaadhirika! Usijaribu kununua bidhaa kwa kutunia credit card zao utaumbuka.

Usiamini huduma yao ya "Simbanking" utaboreka maana kila mara wanarekebisha mitambo! Siku za weekend ndio balaa kabisa ATM zinaenda " kupumzika Coco beach " hadi weekend ipite hivyo usijisumbue kutafuta pesa Jumamosi au Jumapili. Cha ajabu CRDB ina wafanyakazi wengi tu ambao vitendea kazi vyao ni "Smartphones" na kila muda "wanazichungulia na kuzipangusa" zisichafuke. Shame on you CRDB! Nawapongeza NMB maana wameamua kuwapiku hawa wanaochezea biashara.

Huduma za NMB zinaridhisha ila labda kama wewe una kadi ya CRDB na unataka kuitumia katika ATM za NMB. Kitakachokupata ni kuambukizwa magonjwa ya CRDB ukiwa katika ATM ya NMB. Nimeamua nahama sitaki kuteswa na pesa zangu na nimechoka kuadhirika na kikadi kilichoandikwa CRDB Tembo card na nyingine ya ovyo kuliko wanaita Premium Gold Visa Card. Kazi kwenu mnaoipenda CRDB.
Mimi nadhani uamuzi mzuri kwako ungekuwa kuhamia kwenye "KIBUBU" uachane kabisa na kadhia za foleni za benki
 
To be honest CRDB needs to up its game. Ila sishangai una watu kama Kimei wamekuwa Directors for more than 20 years! They have nothing new to offer. Kimei anashindana na vijana wadogo ambao alianza kazi ya Ukurugenzi pale wakiwa sekondari. Ni ngumu kupambana na hao vijana. They know the market. Halafu people should know when to let it go. Hivi kweli ukurugenzi 20 years..bado unategemea to bring new ideas?

Mimi nina account CRDB lakini ni kama nimeifunga...sijaitumia for more than 10 years! Kwa hili la benki nimeamua kukosa uzalendo. CRDB hela yangu hamtakaa muione. Hela yenyewe tunaitafuta kwa shida..na kuitumia iwe shida? Hapana aiseee...
 
Braza najua unatetea kibarua. ..unadhan hao wahudumu wa ndege n.a. hawakujua Hilo kabla ya kuruhusu atumie card kufanya transaction...kwe mapungufu muwe mnakubali basi
mkuu hata sifanyi kazi huko.. mie nimendika tu uhalisia.
 
Mkuu kama crdb ATM inakwambia haina network ( ambalo ndo tatizo kuu wikiend)...ukienda kwenye ATM machine zingine za visa inakwambia haitambui your card issuer, jaribu ujionee.
Nimekuelewa! Nina kadi ya CRDB ndo nimeifufua si muda mrefu baada ya SCB kuzingua. Bado sijakumbana na hilo tatizo, ila CRDB nao naona wanazingua wamesimamisha mikopo sijui mpaka lini!! Fomu zinaozea ofisini mwao.
 
mkuu hata sifanyi kazi huko.. mie nimendika tu uhalisia.
Basi uhalisia ni kwamba jamaa wanazingua. ....na hawashauliki we bank miaka 20 mkurugenzi mmoja tu...hawataki mabadiliko unategemea nn
 
CRDB wameshalewa sifa, huduma mbovu, ATM nyingi weekend na jioni zinakuwa hazina hela, wanaanzisha huduma za mtandao na haziendelezwi mfano e-statement ubabaishaji mtupu. Mi wamenikesa sana na nawaza kuachana nao.
 
Sitasahau siku sim banking ilivyoniingiza majaribuni siku ya pili nilihamisha tusent twangu twote Nmb
 
To be honest CRDB needs to up its game. Ila sishangai una watu kama Kimei wamekuwa Directors for more than 20 years! They have nothing new to offer. Kimei anashindana na vijana wadogo ambao alianza kazi ya Ukurugenzi pale wakiwa sekondari. Ni ngumu kupambana na hao vijana. They know the market. Halafu people should know when to let it go. Hivi kweli ukurugenzi 20 years..bado unategemea to bring new ideas?

Mimi nina account CRDB lakini ni kama nimeifunga...sijaitumia for more than 10 years! Kwa hili la benki nimeamua kukosa uzalendo. CRDB hela yangu hamtakaa muione. Hela yenyewe tunaitafuta kwa shida..na kuitumia iwe shida? Hapana aiseee...
umeongea point Kimei akili yake imeshachoka hana jipya tena
 
Huduma ya mikopo wamefunga, wenye taarifa juu ya hili tujuzane, though kiukweli kwa sasa hawa jamaa hawaeleweki.
 
Wapendwa wanajamii,

Mimi nimekuwa ni mteja wa CRDB Bank kwa miaka si chini ya 12. Mwanzoni nilijivunia kuwa mteja wa CRDB kwa jinsi walivyokuwa wakiboresha huduma kila mara. Lakini kwa sasa CRDB ni benki ya hovyo kuliko mfano. Usijaribu kuamini kuwa ATM zao zina fedha muda wote utaadhirika! Usijaribu kununua bidhaa kwa kutunia credit card zao utaumbuka.

Usiamini huduma yao ya "Simbanking" utaboreka maana kila mara wanarekebisha mitambo! Siku za weekend ndio balaa kabisa ATM zinaenda " kupumzika Coco beach " hadi weekend ipite hivyo usijisumbue kutafuta pesa Jumamosi au Jumapili. Cha ajabu CRDB ina wafanyakazi wengi tu ambao vitendea kazi vyao ni "Smartphones" na kila muda "wanazichungulia na kuzipangusa" zisichafuke. Shame on you CRDB! Nawapongeza NMB maana wameamua kuwapiku hawa wanaochezea biashara.

Huduma za NMB zinaridhisha ila labda kama wewe una kadi ya CRDB na unataka kuitumia katika ATM za NMB. Kitakachokupata ni kuambukizwa magonjwa ya CRDB ukiwa katika ATM ya NMB. Nimeamua nahama sitaki kuteswa na pesa zangu na nimechoka kuadhirika na kikadi kilichoandikwa CRDB Tembo card na nyingine ya ovyo kuliko wanaita Premium Gold Visa Card. Kazi kwenu mnaoipenda CRDB.
Hata hisa za CRDB hazina dili tena.
 
Mimi nilishazilalamikia hizo Huduma zao ni za hovyo sana. Hasa weekend na simbanking...ukija kwenye Huduma kwa mteja ukapiga zile simu zao ndio utakoma ubishi. Wale wanaopokea simu wana nyodo na hawajui maana ya customer care.
 
Wakati wakuu mkilalamikia crdb kuwa wa hovyo.. Na wafanyakazi wao kuwa na nyodo.... Za kijinga.. Kauli ninayo ikubali kwa moyo wangu wote bila kinyongo.. Kwenye mitandao ya simu... Tigo wanazingua sana hasa kwenye data eneo hili za tabata kisukulu... Na wafanyakazi wao wana nyodo za kijinga sijawahi ona.. Hasa pale kijitonyama.... Vile vijidada vya pale vingese sana... Vinajishebedua
.. Vinaringa wala hata hawawajali wateja...
 
Ni kweli benk ya ajabu sana sasa hivi ni CRDB, wiki 3 zilizopita nilitoa kama 95,000 kwa mpesa kupitia ATM moja mji mkuu. Cha ajabu mashine ikazichanga hela na hazikutoka. Kwenda kuwauliza CRDB branch wanasema ni kweli zimetoka ila ziliangukia ndani chumba cha ATM, mpaka leo bado hawajanirudishia hela yangu na makato walionikata Mpesa na benk...Inakatisha tamaa
 
Hiyo ni cha mtoto, ukifungua akaunt NBC akaunti hiyo kuipata mpaka usahau kwanza ni lini ulifungua akaunti. Kuna baadhi ya matawi mfano Kahama in some cases inabidi hadi utoe rushwa ndio tatizo lako la kupata akaunti lisshghulikiwe, hili sijaambiwa, ni shuhuda kabisa
Hivi kuna watu bado wako NBC,Mimi nilidhani imeshafutika katika idadi ya mabenki Tanzania.
 
Back
Top Bottom