Mkopo mwee kuna mtu anatakiwa kwenda chuo vitu vyote vipo kamili ishu imebaki bankstatement tu ndio maana akaniomba nimtafutie jf akipatikana waelewana kias gan ili aweze kamilisha mambo yake ya kwenda chuo

Samahani kwa maswali, chuo kinahitaji bank statement kwa ajili gani? Ukilipa cost zao si basi?
Halafu documents zingine mrs s, bank statement Evelyn si inaonekana kabisa sio yako?

Tanzania watu huwa hawasomi kitu na kuelewa bali hukimbilia kujibu, mleta mada anauliza kama anaweza pata bank statement ya mtu yenye kuanzia milioni 19 kitu kigumu ni kipi? mfano wewe bank statement yako ina milion 22, kitu kama hicho