Yaani uliandika kichina, alafu kabla hujajibu rudia kusoma uzi wako, wewe ulitaka mtu mwenye milioni 19 bank akusaidie kumdhaminj mwanao aende shule kwa kutumia statement yake, kwanza hilo jambo n gumu, labda huyo mtu akubali kuji commit awe mdhamini rasmi, na huyo tafuta kati ya rafiki zako au ndugu, huku sidhanj