we
weka swali vizuri lakini inawezekana kuna sehemu unatakiwa kuambatanisha na benki statement ambayo min inatakiwa kuwa na kiasi ambacho hakipungui 19m so hilo linawezekana ni kuweka hela tu kwenye acc yako unapata kwa kuwa benk statement ni taarifa ya kilichopo kwenye akaunti yako kwa siku utakazotaka mfano baadhi ya vyuo vya nje wanataka kuona benk statement yako na wameainisha kiasi fulani kwa ajili ya kuwa na uhakika wa wewe au mwihitaji atajiweza