Bank gani inafaa kufungua account

Bank gani inafaa kufungua account

Siku likiungua hilo Godoro hlf kumbuka no insurance!

Meridian Biao bank ilipoingia mitini na hela za watu ulikua hujazaliwa...
Greenland bank ilipoingia mitini na na hela za watanzania hukuwepo
THB iliyokua inaongozwa na Mh. Yona kwa sasa mgeni wa serikali pale Keko ilivyokufa unakumbuka ???????
FBME ya juzi juzi kabisa umeisahau...
Mimi pesa zangu kwa godoro.
 
Hah haahh kuna ukweli ndan ya maneno yako lkn
 
Meridian Biao bank ilipoingia mitini na hela za watu ulikua hujazaliwa...
Greenland bank ilipoingia mitini na na hela za watanzania hukuwepo
THB iliyokua inaongozwa na Mh. Yona kwa sasa mgeni wa serikali pale Keko ilivyokufa unakumbuka ???????
FBME ya juzi juzi kabisa umeisahau...
Mimi pesa zangu kwa godoro.

Sasa wewe na laki zako mbili ukawasumbue watu benki ni haki kweli?
 
Kama ni Mwanachuo Crdb will be best for you
Crdb wapuuzi sana. Kuna wakati nilitaka kufungua akaunti wakaniambia nikalate barua toka kwa balozi! Kudadeki, pesa zangu mwenyewe kuweka bank mpaka nikamjulishe balozi? Wapuuzi sana nilituma kuwapotezea.
 
Kama huna barua ya mwajiri au utambulisho wowote, barua ya balozi inakuwa utambulisho na si crdb peke yake, benki karibia zote ndivyo ilivyo.
 
Nmb foleni hapa na mbagala.utadhani foleni ya kwenda kujiandikisha kitambulisho cha uraia au bvr. Nani aende nmb!

Uwepo wa Foleni kwenye ATM ni mwisho wa Mwezi tu.Anyway NMB naona ina uhakika hata mtawanyiko wa Matawi ni mkubwa
 
Sasa wewe na laki zako mbili ukawasumbue watu benki ni haki kweli?

Umenena. Laki mbili kila ukitoa elfu kumi lazima utumie nauli ya daladala pamoja na foleni na system outage pamoja na benki charges, mwisho wa siku mtu unatumia elfu kumi na tatu kutoa elfu kumi. Lakini mugodoro fasta tu
 
Back
Top Bottom