luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,405
Habari za wakati huu.
Naombeni msaada juu ya bank nzuri kwa maana ya makato na kianzio pia sina uzoefu wa kutosha katika masuala haya na ni mwanafunzi pia.
Asante.