Ila kwa wadau wa Online transactions mastaercard ina limitation, VisaCard haina usumbufu hivyo kuwa bora zaidi.Master card ni bora zaidi kwa kua ina uwanja mpana zaidi wa matumizi
Kuna maali niliwai soma nikakuta huduma zao zote nikama zinashamiiana na mastercard kuna price protectionIla kwa wadau wa Online transactions mastaercard ina limitation, VisaCard haina usumbufu hivyo kuwa bora zaidi.
Mfano hai
- Ukifanya deposit fedha SKRILL kwa kutumia mastercard huwezi ituma kwa Fx Broker.
- Ila ukitumia VisaCard hupati tatizo lolote.
Kimatumizi zote ziko sawa, kwa kutegemea matumizi yako ni yapi.niliwai soma nikakuta huduma zao zote nikama zinashamiiana
Skrill - Ni njia ya kuhamisha fedha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia ya mtandao, ambapo instantly mtu anapokea fedha muda huo huo kwenye account yake ya skrill.SKURLL
FX = Forex Broker - foreign exchangefx broker
Me nilitaka kwaajili ya online transactions ivo itakua bora zaidi kama nikichukua visaSkrill - Ni njia ya kuhamisha fedha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia ya mtandao, ambapo instantly mtu anapokea fedha muda huo huo kwenye account yake ya skrill.
FX = Forex Broker - foreign exchange
Sahihi, Chukua visacardMe nilitaka kwaajili ya online transactions ivo itakua bora zaidi kama nikichukua visa