Ila nwe wajua kua ni mkorofi?Soon ntarudi tena,kuna tu jamaa tupya tumeajiriwa ujue full kumkamia numby
Wamfahamu?Me mpole kama huyo dada kwenye avatar yako
Wamfahamu?
Kama ni mpole kua mpole huku pia.. sio kwakua watu hawakufaham ndio unawajibu vyovyote unavyojisikia
Jf raha sana, siku moja moja naamua nimkere mtu basi namkeraa weeee nikisha ona amekasirika basi na mimi ndio nafurahi uku niliko maana nimemkera mtu ambaye simjui na yeye hanijui basi nikisha timiza lengo langu siku hiyo natokomea kusiko julikana uku nyuma namuacha mtu na hasira zake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅Shtua joti one time
Shaku shaku one time
Soco soco one time
Ongeza yako one time
I say Banjuka tuu sahau shida banjuka tu....View attachment 1276851
Rafiki ni wivu tu hamna kingine. 🤣Soon ntarudi tena,kuna tu jamaa tupya tumeajiriwa ujue full kumkamia numby