Bani ni noma

Bani ni noma

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
786
Jamani heri ya mwaka mpya, mwenzeni nilikula bani tokea mwaka jana mwezi mpaka leo hii. Nilisikitika sana kui miss jamii forum hivyo sasa nitakaa kwa adabu zote.
 
pole

ila kwa jina hilo hata jehenam itahusu

karibu, sina hakika kama nllikigundua kama haupo.
 
Kaibu mgosi,habai ya ndima? Aongamshi?
timekukuaibisha JF

Ni mimi rafiki yako shetawa pia msalimie shemdolwa
 
Pole sana ila na hilo jina lako mmmh!sijui hata umelipendea nn!
Haya na utulize hasira zako.
 
sio jina lenye matatizo...?? Shet...
Badili ID nuksi zikuondoke...
 
Back
Top Bottom