Banguabongo ya leo,kuna kichwa!

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
744
633
Kipofu ana mke tena anampenda sana lkn kiziwi anatembea na mke wake kipofu! Mungu si Athuman,bubu siku moja akafumania bahati nzuri n kipofu alikuwa karibu,tatzo ni maelewano! Hebu niambie bubu afanye nn ili kipofu amkamate kiziwi?
 
chemsha bongo yako inaweza kuwa nzuri kama ukiandika kwa umakini bila papara, kwenye sentensi zako jaribu kutumia alama za Koma, halafu hapo nilipo highlight kwa nyekundu, nashindwa kuelewa kama ni ''na ' ama ''ni ' , otherwise hakuna tofauti kati ya Kiziwi na Bubu. wote ni walewale.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom