Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
Hamjambo waku ndugu zangu? Wakati wa utoto wetu hasa tuliokulia au kuzaliwa vijijini tulikutana na burudani ya bangobango ambapo kwa sauti ya kuvutia walikonga nyonyo zetu. Nimewahi kusikiliza nyimbo za mwendapole na wengine wengi. Je wapi nitapata kanda zao au miziki yao?
Asante,
Pastor Achachanda mwana wa Tukumtusakalamwendemompunguzwachile
Asante,
Pastor Achachanda mwana wa Tukumtusakalamwendemompunguzwachile