sadiki kibira
New Member
- Nov 21, 2011
- 3
- 0
Katika hali ya kushangaza bango la kuelekeza mkoa wa shinyanga lililo mbele ya mizani ya usagara ktk jiji la Mwanza,limetelekezwa likiwa limeanguka upande mmoja,bango hili lina zaidi ya mwaka sasa,ni aibu na ni uzembe kwa watumishi wa miundombinu maana liko mbele ya ofisi yao,Wadau tusaidiane kuwakumbusha wahusika!!