Bango la VodaCom la Kuchangia M4C lina Walakini

Bango la VodaCom la Kuchangia M4C lina Walakini

Mmmm!!! Lakini CDM imeanza mbali. Kilitwa chama cha Wachaga, mara chama cha matajiri, mara chama cha wakristo, mara chama cha wadini, mara chama cha.......malizia majina yote. Na sasa mmekuja na freemasonnry. Mpaka kufika 2015, CDM watakuwa na majina mangapi???

...watakuwa wamewakilisha makundi yote katika jamii mkuu.
 
kwa hiyo kwenye taarabu nako ni freemasons maana vidole juu kwa mtindo huo mwanzo mwisho ....basi hadija kopa naye ni freemasons...
 
mwanzisha thread yuko makini na nilivyomuelewa ni mwana CDM. ila ametoa mtazamo wake kuhusu hiyo picha na ishara za freemason. hakuwa na maana ya kuipinga CDM na wala thread yake haijaonyesha kuwa yy ni pro sisiem. ameandika kabisa kuwa hiyo picha inawezekana ni mambo ya "pure conspirancy theory". Nashangaa anavyoshambuliwa. majitu mengine yana uelewa mdogo utafikiri wana ubongo wa inzi.
 
Kama wewe unaamini kuhusu FREEMASONS usituvuruge...

CHADEMA ni chama cha wapenda maendeleo na mabadiliko.
Mimi naona mleta mada anania zuri tu chadema ni chama cha watu wote sasa kama kwenye kitu kinacho ihusu chadema kuna alama zina weza kuwa kwaza baadhi kwanini isiondolewe kwani kuna ulazima gani hiyo alama kuwepo pale..........................................
 
[h=3]Vodacom Tanzania Partnership[/h] Vodacom Tanzania was licensed in Tanzania with its local partners Planetel Communications holding 36% and Caspian Construction holding 16%. Later Planetel decreased its stake to 16%, while Caspian’s increased to 19%[SUP]
[/SUP]

A representative of Caspian on the Vodacom Tanzania board is businessman Rostam Aziz,

Asiyejua kwamba hisa zinazoitwa za Rostam ni hisa za ccm ni nani?
Zawadi ya ANC kwa chama tawala kwa kuwasaidia straggle south adrica??

Stop talking cause we know more than you think!!
 
Hizi isssues za freemasons ni upuuzi wa kuwafanya watu wasifikiri!
 
Chadema kutumia alama za freemasons siyo kwamba ni wafuwasi wa freemasons isipokuwa alama moja inaweza ikatumika kwa malengo mbalimbali tofauti kutokana na imani ya mtumiaji. Unawezakutumia alama moja kutangaza mazuri na ikakubalika pia unaweza ukatumia alama hiyoyo kutangaza mabaya ikakubalika pia.kwa hiyo siyo ajabu kuona chadema na freemasons kutumia alama moja kwani cha maana hapa ni malengo kwamba huyu ana itumia kwa malengo gani na huyu anaitumia kwa malengo yapi.
 
Vodacom = Rostam

Halafu kuna binti Makamba pale, mmemsahau?

Nna uhakika mlienda kuonana nae, maana PR ya voda bila kumuona yeye haijawa.

Mtaweweseka sana
Chedema ndio hiyoo inasonga mbele.
 
Chadema haihitaji hata senti tano yako wewe, mkeo, babako na wengine wote wanaokuunga mkono. Gamba zito wewe! Chadema itachangiwa na sisi tunaohitaji mabadiliko Tanzania. M4C


haswa tutachanga wenyewe kwa hiari yetu bila kulazimishwa tumeshachoka na chama cha magamba tunahitaji mabadiliko
 
Back
Top Bottom