Bango la VodaCom la Kuchangia M4C lina Walakini

Bango la VodaCom la Kuchangia M4C lina Walakini

Sina knowledge yoyote ya ufreemason so kuhusu habari hizo naweza kukubali au kukata.
That's right elly-black, am not condemning anybody either. Just tabling this for further discussion. It's an information era, shouldnt leave any stone unturned. I am quite impressed by the cdm's innovations and zeal tho
 
Hii mijadala ya freemasonary inakinaisha sasa. Na kwa kadri ninavyosoma maandiko mbalimbali hasa magazeti yatu ndivyo naona bado tuna shida sana kwenye upande wa elimu. Kuna gazeti moja linaitwa TAZAMA. Kwa muda sasa wamekuwa wanaandika juu huu upuuzi. Nasema upuuzi maana ukisoma alichoandika huyo mwandishi utajiuliza amefika darasa la ngapi? Very primitive thinking.

Just becuase kikindi fulani wanatumia alama fulani basi na wewe ukitumia alama hiyo unakuwa mmoja wa kikundi hicho? Hivi ni kweli mtu hawezi kuweka vidole vyake kama ilivyo kwenye picha na bado asiwe freemason? Au hairuhusiwi kufanya hivyo mpaka uwe mwanachama na freemason? Labda nitoe mfano. Auguston Lyatonga Mrema anavaa kofia ambayo kwa kawaida huvaliwa na watu wa dini ya kiislam. Lakini Mrema ni mkristo. Je, kwa kuvaa hiyo kofia automatically anakuwa muislam?
 
mbona tangazo mnaliona lina walakini mbona hamuulizi mnapopewa visa au master cards?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Just becuase kikindi fulani wanatumia alama fulani basi na wewe ukitumia alama hiyo unakuwa mmoja wa kikundi hicho?

Mkuu wangu hebu irekebishe hoja yako, Unafikili kwa nini chama kitumie alama hiyo? kwani hakuna alama nyingine?
 
Hii mijadala ya freemasonary inakinaisha sasa. Na kwa kadri ninavyosoma maandiko mbalimbali hasa magazeti yatu ndivyo naona bado tuna shida sana kwenye upande wa elimu. Kuna gazeti moja linaitwa TAZAMA. Kwa muda sasa wamekuwa wanaandika juu huu upuuzi. Nasema upuuzi maana ukisoma alichoandika huyo mwandishi utajiuliza amefika darasa la ngapi? Very primitive thinking.

Just becuase kikindi fulani wanatumia alama fulani basi na wewe ukitumia alama hiyo unakuwa mmoja wa kikundi hicho? Hivi ni kweli mtu hawezi kuweka vidole vyake kama ilivyo kwenye picha na bado asiwe freemason? Au hairuhusiwi kufanya hivyo mpaka uwe mwanachama na freemason? Labda nitoe mfano. Auguston Lyatonga Mrema anavaa kofia ambayo kwa kawaida huvaliwa na watu wa dini ya kiislam. Lakini Mrema ni mkristo. Je, kwa kuvaa hiyo kofia automatically anakuwa muislam?

Ni kweli, that's why i said may be real may be coincidence. I have a feeling there's a lot more going on around us without our clear understanding. However, we can't stop discussing, anythg is possible
 
Mmmm!!! Lakini CDM imeanza mbali. Kilitwa chama cha Wachaga, mara chama cha matajiri, mara chama cha wakristo, mara chama cha wadini, mara chama cha.......malizia majina yote. Na sasa mmekuja na freemasonnry. Mpaka kufika 2015, CDM watakuwa na majina mangapi???
 
Hahahahaha, Nimeipenda hiyo Nyengo. Ukiona hivyo ujue kina mashiko. Ukiona tai wamekusanyika mahali ujue pana mzoga si bure.
 
Ongeeni sana lakini dawa yenu ni 2012-05-26-122.jpg 2012-05-26-118.jpg 2012-05-26-116.jpg 2012-05-26-129.jpg mpaka 2015 mtakuwa mmetota
 
I followed the rally on ITV, that stuff somehow disturbed me too. I ignored it though, thought it was just a visual error. I have not done much research, i hesitate to make tough comments. However, for curiosity, there could be smthg connecting to the 111333 m-pesa number issued, Plz check out 4urselves: 11, 13 and 33: The Illuminati / Freemason Signature
Cheers

Mkutano jangwani M4C may 26 inakuja hivi. May 26 = 5+2+6=?
 
Duh!! Hapa mi nashindwa kuelewa, hivi watu wengine ubongo wao ni sawa na senene!!?
 
1. Suspicious signs in M-Pesa bango:

View attachment 54697

2. Something suspicious too about the 111333 M-Pesa number issued, unless if it's a mere coincidence. Plz try ths link: http://www.theforbiddenknowledge.com...n_sig.htm&nbsp

Kwanza vua Gamba kisha vaa Gwanda, Hivi umejiuliza baba riz amekwenda Marekani kufanya? Obama amekubali ndoa ya jinsia moja (ushetani) muda mfupi anamualika baba riz kwenye G8 toka lini Tz tukawa member, eti kuboresha kilimo tz au kuchukua ardhi ya tz kwa kivuli cha kilimo. HAWA NDIO FREEMANSON. wanaitana kwenye G8. Upo?
 
Hujui kama Mbowe ni mwanachama?

Mwenyekiti Mstaafu wa CCM -BWM
Mwenyekiti wa sasa wa CCM- JMK
Kada maarufu wa CCM -Reginald Mengi
Kada maarufu wa CCM- Chande
Balozi Nsekela-Kada mzito wa CCM

hawa ni baadhi ya watu wanaotajwa kuwa wana freemasons, ni makada waliokubuhu wa CCM!
 
Rostam Aziz anadaiwa kumiliki Hisa ndani ya kampuni iitwayo VODACOM,Sasa nashangaa leo kuona Vodacom inaanza kutumiwa na CDM kuchangisha fedha za chama kwa ajili ya safari mikoa ya kusini!Naogopa kwa sababu nadhani isije ikawa unakataa kula kinyesi halafu unakula wadudu walao kinyesi.

Umenena lakini humu mods wanaweza kukupa banio
 
Swali la kujiuliza ni kwamba nani katengeneza hiyo picha? Ni cdm au ni voda? Nani katoa hiyo namba ni voda au cdm? Inawezekana kwamba hivyo vyote vimefanyika makusudi na voda ili kuchafua hali ya hewa kwa kuwa alama ya cdm inajulikana na hiyo kwenye picha baadhi si za cdm. Hapo inabidi kujua zaidi maana hyo picha si halisi bali ni graphics ambayo imechorwa kuhamasisha kuchangia. Ingekuwa cdm ni freemason sidhani kama wangeomba michango kwa wananchi. Mimi nadhani na kuamini hiyo inawezekana kuwa ni trick ya watu wengne kuihususha na jambo hilo na inawezekana imefanyika makusudi au kwa bahati mbaya. Jambo lingine la kuzingatia kwamba alama ya vodacom kwa sasa ni alama ya kifreemason ambyo ipo wazi kabisa tena bila kuficha sasa sijui hapo inakuwaje. Ninavyodhano ni kwamba voda wenyewe watajitahidi kufanya jambo lolote ili wadisplay kile kilichoko rohoni mwao. Huo ni uchunguzi wangu mfupi
 
Inawezekana CDM wanatumiwa na Freemason bila wao wenyewe kujua. Hata hivyo jumuia hii sio watu wabaya kama inavyodhaniwa na wengi.
 
Swali la kujiuliza ni kwamba nani katengeneza hiyo picha? Ni cdm au ni voda? Nani katoa hiyo namba ni voda au cdm? Inawezekana kwamba hivyo vyote vimefanyika makusudi na voda ili kuchafua hali ya hewa kwa kuwa alama ya cdm inajulikana na hiyo kwenye picha baadhi si za cdm. Hapo inabidi kujua zaidi maana hyo picha si halisi bali ni graphics ambayo imechorwa kuhamasisha kuchangia. Ingekuwa cdm ni freemason sidhani kama wangeomba michango kwa wananchi. Mimi nadhani na kuamini hiyo inawezekana kuwa ni trick ya watu wengne kuihususha na jambo hilo na inawezekana imefanyika makusudi au kwa bahati mbaya. Jambo lingine la kuzingatia kwamba alama ya vodacom kwa sasa ni alama ya kifreemason ambyo ipo wazi kabisa tena bila kuficha sasa sijui hapo inakuwaje. Ninavyodhano ni kwamba voda wenyewe watajitahidi kufanya jambo lolote ili wadisplay kile kilichoko rohoni mwao. Huo ni uchunguzi wangu mfupi

na mimi ndiyo hoja yangu hasa.

sitachangia tena mnakasha huu. na kama ikiwapendeza, mods wanaweza kuufunga, kwa kuwa wahusika kwenye chama watakuwa wamepata ujumbe.

habari zaidi kuhusu namba 111 333 bofya hapa:

Soul Appreciation Society Contact
 
M4C = Movement for Christ.
Sasa umeanza kuingiza ujinga hapa. Unataka kuwaincite waisalamu sio? Mda wote nafuatilia sana posts zako lakini hili limeniudhi sana maana naogopa sana udini. Nchini nyingi sana duniani zinayumba na hazitawaliki kwa sababu ya udini. Angalia Misri, Libya, Yaemen, Afghanistan, Somalia, Nigeria, Mali, etc. Noamba Mungu atuepushie mbali Malumbano ya udini. Hapa Korea Kusini watu wanaishi vizuri sana kwa sababu mambo dini ya haipo sana japo kunavielement za makanisa na misikiti.
 
Back
Top Bottom